Kenya kontena 4000 Za Uganda Ziko Wapi?

Kenya kontena 4000 Za Uganda Ziko Wapi?

Mwanzi1

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
6,000
Reaction score
4,589
Kutokana na taharuki ya upotevu wa mizigo ya uganda, kamati ya uwekezaji ya bunge nchini Kenya PIC, imetoa maagizo kwa mkaguzi wa hesabu za serikali kufanya uchunguzi kuhusu upotevu wa mizigo ya Uganda kwenye bandari ya Mombasa.

Screenshot_Twitter_20180522-221527.jpg


Screenshot_Twitter_20180522-221559.jpg


KRA querried on ‘lost’ containers
 
Hizo kontena hazikuwa za waganda, ni maneno ya watu kukwepa kulipa kodi. They declare the containers as headed to Kampala lakini zinapotea njiani between Mombasa and Malaba na bidhaa inauzwa humu Kenya
 
Kontena za Makonda naskia mumezikalia, japo naye kazikana.
 
Kontena elfu nee!!? Zile za kuhifadhia msosi kama wanazotumia mama ntilie?
 
corruption na mkenya ni ndugu wa tumbo moja wala sio kitu cha kushangaa hapa😀😀😀😀😀😀
 
4000 containers with 40feets hehehe hawa watu ni wezi wakimataifa 😀😀😀😀😀😀
Kuna hilo neno linasema "without trace" hata sijuwi wataanzia wapi kuzipata. [emoji23]
 
Kuna hilo neno linasema "without trace" hata sijuwi wataanzia wapi kuzipata. [emoji23]
inamaana zimepita hazikulipiwa ushuru pia zimepita bila ya scan na kwa wahusika hazikufika😀😀😀😀😀
 
inamaana zimepita hazikulipiwa ushuru pia zimepita bila ya scan na kwa wahusika hazikufika😀😀😀😀😀
Nakumbuka Magu alipogundua mchezo kama huu Dar walifanikiwa kujuwa upotevu wote na wahusika wakalipishawa pesa yote, tena ilikuwa mizigo ya ndani. Sasa hawa jamma hata kujuwa mizigo iko wapi na nani anahusika hawajuwi, tena mizigo sio yao. Wasubiri kulipa fidia kwa waganada maana hakuna namna nyingine.
 
Back
Top Bottom