😢😢😢😢
Yaani huyu kiumbe ana kunywa Fanta na Mirungi 🤔
Sasa umaskini na njaa ni uji na mgonjwa!Hizo picha zinaakisi umaskini zaidi kuliko njaa. Wewe angalia aina ya nyumba wanazoishi hawa wahanga. Ni zaidi ya njaa.
Wanaonekana wanaishi kwenye umaskini wa kiwango cha juu sana, Under povert line.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa anaweza kuwa ni member mwenzetu humu jf,akimaliza hiyo fanta hapo anaingia jf kwenye ile battle ya dar vs nai na kuanza kututukana wabongo
Sisi ni middle income tuko na multinational companies mingi, tunaongea kizungu mzuri, ile ya queen kabisa, nani kasema sisi iko na jaa?Acha waendelee kujali maghorofa ya Nairobi maana wao hicho ndio cha msingi na sio maisha ya watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi amekua kilaza, analeta porojo tu na maneno ya kwenye kanga.Inawezekana maana amepotea ktk jukwaa hili la majirani. Siyo kawaida yake kutotupia comments au kuanzisha uzi na huwa wanaJF wengi hupenda kufuatilia habari mpya kuhusu Kenya, MK254 anazoleta kwa kina zinazo-sapotiwa na data , graph, pie-charts na source za uhakika.