Kenya kubalini kwenu kuna njaa ili msaidiwe

Kenya kubalini kwenu kuna njaa ili msaidiwe

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
9,971
Reaction score
13,608
"Kondoo wangu wote wamekufa, mbuzi pia wamekufa. Sasa sina mifugo, sina chakula..."
➡️ "Serikali isipotusaidia, tutakufa tu kama mifugo wetu"
FB_IMG_1552979961044.jpg
 
Jamani hawa watu ni wa kusaidiwa. Tuwasaidie maana wakenya wameona aibu kutokana na kutamba walikokuwa wanatamba. Huyu si adui wa kuombea njaa. Ni ndugu zetu. Yale maneno yao kwenye jf ni kwa ajili ya kuchangamusha jukwa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana maana amepotea ktk jukwaa hili la majirani. Siyo kawaida yake kutotupia comments au kuanzisha uzi na huwa wanaJF wengi hupenda kufuatilia habari mpya kuhusu Kenya, MK254 anazoleta kwa kina zinazo-sapotiwa na data , graph, pie-charts na source za uhakika.
 
Siku hizi amekua kilaza, analeta porojo tu na maneno ya kwenye kanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom