Kenya kufanikisha umeme kwenye SGR ndani ya miaka miwili

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hizi taarifa zilipokuja leo hapa JF, kuna wadau wameweweseka balaa na kujaza uzi kwa matusi, wengine wakakosa kuamini na kuomba uthibitisho zaidi. Ni taarifa za kweli na tayari shughuli imeanza, vituo 14 vya umeme vitatengenezwa ili kufanikisha hii shughuli.
Wakenya sote tutaunga mkono kama kweli umeme utakua wa uhakika, lakini sitaki tufanye ili kusudi ionekane tu kwamba tuna treni za umeme kama wengine ambao wapo bado sana kimiundo mbinu.
Juzi Ethiopia kumekua na tukio la treni kuchelewa mbugani masaa manane kisa umeme ulikatika.

Haya taarifa kamili hii hapa

 
Mpaka mnatia aibu, mara tunaweka, mara hatuweki, mara tunaweka tena. $2.4 Billion kushikilia biashara ya Museveni, sasa bei hiyo pamoja na treni mpya za umeme au? Museveni amesha amua, mkijenga SGR kwenda S.S. yeye ana zima mpango wa Mombasa-Malaba.
 
vizuri ila mbona wanatuchanganya kana kwamba sisi ni watoto wadogo...mara wanatuambia umeme utawekwa baada ya miaka minne.... kisha baadae wanasema hakuna umeme alafu wanabadili gear angani na kusema umeme utawekwa ila ni miaka miwili sasa...serikali iliochanganyikiwa hivi itaaminika kweli?
 
Inakaa Museveni kagoma kujiunga na non electrified SGR!
 
Huku kukimbilia kuiiga Tanzania kutaiua Kenya lazima Kenya itafilisika kwa hizi sarakasi za kutaka kua kama Tanzania.

Hehe nasubiri huo umeme uwekwe tujumlishe hiyo gharama kwenye Ile pesa yetu tuone cost ya kilometer moja ilipogotea inaweza kua million 7
 
By then ndyo watajua Uhuruto teaming up with chinies ni kilio kwa Kenya.
 
By then ndyo watajua Uhuruto teaming up with chinies ni kilio kwa Kenya.
Alafu hiyo pesa ni kuweka umeme kuanzia mombasa mpaka Nairobi sio reli yote Kwahiyo gharama ya reli nzima bado haijatoka,

hiyo 2.4$ billion ya kuweka umeme tu ni gharama 70% ya kujenga reli nzima na umeme wake kutoka Dar mpaka Dom Kwahiyo bado pesa inazidi kupigwa hapo bado electric locomotives sasa sijui hizo za diesel watazipeleka wapi?

Yote hii ni kushindana na Tanzania Hehehe
 
Sure this is heartbreaking!! i wonder why they dont say how is all this is going to improve the speeding of their locos!! The 280 km/hr that is crap, no way its gone happen on those scary looking bridges. The chinies ambassador was just bullshitting Kenya as they always do
 
Hehehe mpaka wachina waachane na nyie kwenye huo mradi na Uhuru aondoke madarakani Kenya itakua imeshapigwa mnada hiyo billion 2.4$ ya mombasa to Nairobi electrification ni gharama 70% ya ujenzi wa reli mpya na umeme wake ya Tanzania kutoka Dar mpaka Dom Hehehe yaani mnapigwa mpaka raha

Rushing to compete Tanzania will cost you the world
 

Ndio hiyo bro, tutayumbishwa lakini cha msingi hatimaye wakitenda itakua poa, umeme wa uhakika ndio inafaa kuwa lengo kuu maana aibu za matreni kukwama mbugani hatutavumilia.
 
Itaendanga speed ngapi?! naombeni jibu majameni (in uhuru's voice)[emoji1]
 
Itaendanga speed ngapi?! naombeni jibu majameni (in uhuru's voice)[emoji1]

Mbona hizi taarifa zinawapa msongo wa mawazo nyie Watanzania, suck it up, accept and move on people, it's a reality.
 
Mbona hizi taarifa zinawapa msongo wa mawazo nyie Watanzania, suck it up, accept and move on people, it's a reality.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hata hamjui itaenda speed ngapi baada ya hiyo electrification! Mnapelekwa kama mazuzu na nyie mna kenua minjino huku mkiwa na njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…