MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Hizi taarifa zilipokuja leo hapa JF, kuna wadau wameweweseka balaa na kujaza uzi kwa matusi, wengine wakakosa kuamini na kuomba uthibitisho zaidi. Ni taarifa za kweli na tayari shughuli imeanza, vituo 14 vya umeme vitatengenezwa ili kufanikisha hii shughuli.
Wakenya sote tutaunga mkono kama kweli umeme utakua wa uhakika, lakini sitaki tufanye ili kusudi ionekane tu kwamba tuna treni za umeme kama wengine ambao wapo bado sana kimiundo mbinu.
Juzi Ethiopia kumekua na tukio la treni kuchelewa mbugani masaa manane kisa umeme ulikatika.
Haya taarifa kamili hii hapa