Kenya kufanya Uchaguzi Mkuu mwingine mwaka huu, Duh!

Kenya kufanya Uchaguzi Mkuu mwingine mwaka huu, Duh!

Hizo buku saba mnazopewa kila siku hapo Lumumba sio kutupa kodi ya walala hoi kweli?
 
Uchaguzi Mkuu means General Election

Tofauti ni nini ? Kampeni zitakuwepo, chaos na interuption ni ile ile, rasilimali fedha zitakazotumika ni zile zile kama siyo zaidi, hivyo ni jina tu.
 
Ingependeza zisaidie hawa vijana wanaoangamia, kuliko kutumika kwa ufala wa bbi na handshakes (Handcheque)

unaonaje tukiwalisha dada zako na kaka zako waliojazana pembeni mwa barabara mijini hadi vitongojini wakiombaomba?
 
Tofauti ni nini ? Kampeni zitakuwepo, chaos na interuption ni ile ile, rasilimali fedha zitakazotumika ni zile zile kama siyo zaidi, hivyo ni jina tu.

Na hapo wakimaliza wanaingia kwenye uchaguzi mkuu ambao kampeni zilishaanza long ago,
Failed state
 
Tofauti ni nini ? Kampeni zitakuwepo, chaos na interuption ni ile ile, rasilimali fedha zitakazotumika ni zile zile kama siyo zaidi, hivyo ni jina tu.
nimekwambia Uchaguzi Mkuu ni General Election. Wacha kuwa slow
 
Pesa zipo?nchi imekubwa na njaa mpaka juzi mmetoka kuwaomba marekani chakula
Hizo pesa si mnunulie chakula watu wasife njaa
nionyeshe ni wapi imesemekana kwamba tumeomba chakula ama ni wamarekani kutaka kujaribu kujipendekeza kwetu
 
Back
Top Bottom