simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Kipi ujinga kati hayo yaliyo orodheshwa?acheni ujinga
ujingaKipi ujinga kati hayo yaliyo orodheshwa?
Naona hata wenye nyumba wameanza kujadili mikakati ya kufuta kodi kwa miezi miwili.
Thubutu yako.Naona hata wenye nyumba wameanza kujadili mikakati ya kufuta kodi kwa miezi miwili.
Serikali ya Kenya haina uwezo hata wa kufuta vumbi katika ofisi za serikali, itapata wapi uwezo wa kufuta bili za UMEME na MAJI?Pamoja na viongozi kupunguza mishahara kwa hadi asilimia 80, kupunguza malipo ya kodi na kuanzisha foundation za kusaidia ambao watathirika zaidi kiuchumi Uongozi unapendekeza kufuta malipo ya umeme na maji kwa miezi sita.
Kwenu mgao tosha so hata Leo mnachezea tu huo wa mgao. Dar umeme umerudi?Serikali ya Kenya haina uwezo hata wa kufuta vumbi katika ofisi za serikali, itapata wapi uwezo wa kufuta bili za UMEME na MAJI?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli mtupu! ..wengi wa Wakenya wa hali ya chini wanaishi kwenye mabanda ya mabati.Nyumba au mabanda[emoji16]