Kenya kuimport magunia milioni kumi na miwili ya mahindi. Tanzania, Mexico na wengine muwe tayari tunakuja kununua

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Kenya opens window for import of 12.5m bags tax-free maize
FRIDAY JULY 5 2019
     
Nairobi. Kenya's Treasury is set to open a window for duty-free import of 12.5 million bags of maize to meet a shortfall that has seen shelf prices hit Ksh125 ($1.22) for a two-kg packet of flour.
The imports are expected to start at the end of this month and last until end of October, in time for the next harvest, Andrew Tuimur, the Chief Administrative Secretary (CAS) in the Ministry Agriculture told Senators yesterday.
The importation will be done by private companies.
Ten million bags out of the 12.5 million earmarked for importation will be white maize for household consumption while 2.5 million will be yellow maize for processing of animal feeds.
"We anticipate to begin importation of maize at the end of this month. As we speak, the country has enough maize stock to last us a month," said Dr Tuimur while addressing the Senate committee on Agriculture.
Agriculture Secretary Mwangi Kiunjuri in April said the country had stocks to last only up to the end of June, following failure of the long rains season.
 
Kumi na mbili. Mnapanga kutupa kichapo na kutufurusha kwenu wakati hamna ugali wa kutosha. Mkianza hayo mambo mna hasara kuliko sisi.
 
Nchi yenye uchumi mkubwa Africa mashariki wanakumbwa na njaa?
Hopeless.
 
Mbona hakuna sababu ya kuenda Mexico, labda kwa hayo mahindi ya njano, lakini hayo meupe hata mkitaka 20M bags, tuna mahindi Mengi sana
 
Nchi yenye uchumi mkubwa Africa mashariki wanakumbwa na njaa?
Hopeless.
30% ya ardhi Kenya ndio nzuri kulimia, Kenya haijabarikiwa kama Tanzania kwa mambo kama ardhi nzuri ya kupanda mimea tofauti na “natural resources” lakini sisi bado twaendelea kujenga nchi na yale kidogo tukonayo. na kama nyinyi hamtaki kutusaidia na mahindi semeni tu twaeza nunua kutoka nchi nyengine.

Na wacha nikukumbushe ya kwamba ukame haichagui wala haibagui. Ni hayo tu.
 
IMG_7295.JPG
 
Kenya opens window for import of 12.5m bags tax-free maize
FRIDAY JULY 5 2019
     
Nairobi. Kenya's Treasury is set to open a window for duty-free import of 12.5 million bags of maize to meet a shortfall that has seen shelf prices hit Ksh125 ($1.22) for a two-kg packet of flour.
The imports are expected to start at the end of this month and last until end of October, in time for the next harvest, Andrew Tuimur, the Chief Administrative Secretary (CAS) in the Ministry Agriculture told Senators yesterday.
The importation will be done by private companies.
Ten million bags out of the 12.5 million earmarked for importation will be white maize for household consumption while 2.5 million will be yellow maize for processing of animal feeds.
"We anticipate to begin importation of maize at the end of this month. As we speak, the country has enough maize stock to last us a month," said Dr Tuimur while addressing the Senate committee on Agriculture.
Agriculture Secretary Mwangi Kiunjuri in April said the country had stocks to last only up to the end of June, following failure of the long rains season.
Mexico is a first world country with a large part being a desert. Kenya is importing food and machinery from developed world😂😂😂 you cant be that lazy!
Choze a struggle
 
Msaada wa Mahindi unapelekwa kupokelewa ikulu kweli hii ni dharau ya hali ya juu?

Balozi anakuja na vikenta vyake viwili vyenye stika mpaka kwenye tairi kwamba huu bwana ni msaada kutoka UAE wa mahindi kuisaidia Kenya na Rais anatoka ofisini kwake kuupokea msaada

Handshakes, hotuba na paparazzi wa kutosha, dah Waafrika alietuloga kafa.
 
30% ya ardhi Kenya ndio nzuri kulimia, Kenya haijabarikiwa kama Tanzania kwa mambo kama ardhi nzuri ya kupanda mimea tofauti na “natural resources” lakini sisi bado twaendelea kujenga nchi na yale kidogo tukonayo. na kama nyinyi hamtaki kutusaidia na mahindi semeni tu twaeza nunua kutoka nchi nyengine.

Na wacha nikukumbushe ya kwamba ukame haichagui wala haibagui. Ni hayo tu.
Hii tabia yenu ya kutoa sababu za kijinga pale mnapofanya vibaya ili kuhalalisha " failures" zenu ndio adui mkubwa sana wa maendeleo yenu, lazima muwe honest kwenu wenyewe ili muambiane ukweli.

Tatizo la Kenya sio ardhi ya kuzalisha chakula, tatizo ni Sera zenu za uchumi, ambapo ardhi yenu hiyo nzuri sehemu kubwa ipo mikononi mwa matajiri, ambao hawaoni faida ya kulima mahindi, mbona mnaongoza duniani kwa kilimo cha chai, vipi mshindwe kuzalisha chakula japo cha kujilisha wenyewe?.

Pili ni tatizo la rushwa na uzembe ktk serikali yenu, kila mradi unapoanzishwa haufanikiwi kwa sababu ya rushwa na uzembe, endapo miradi ya Galana kulalu na zile " dams" zingekamilika, shida ya njaa ingepungua sana kama sio kwisha kabisa.

Badala ya kuambia huu ukweli, ninyi mumekazania ukame na jangwa kuwa ndio tatizo kubwa, ili kujiliwaza msionekane wazembe.
 
Wakenya ni wazembe sana. Nchi inawezaje import machinery,computer na magari tena iongeze hata chakula hapo?? Hata hiyo chai na maua inalimwa na wakenya wa asilia ya waingereza..Mikenya miafrika ni mizembe mno
 
Hahahaha ufipa nao watasema tuige kenya tununue mahindi nje ya nchi ili kukuza demokrasia ..... huko twita ufipa hawajui washike lipi
 
Km uko na mahindi changamkia fursa...si kukaa kijiweni hku ukibaki eti kenya kuna njaa na wakati nchi inataka kuwapa hela mjiendeleze angalau na wakulima watoke...wewe unapayuka tu hapa...
Nchi yenye uchumi mkubwa Africa mashariki wanakumbwa na njaa?
Hopeless.
 
Umempa moja kubwaaaaa
Hii tabia yenu ya kutoa sababu za kijinga pale mnapofanya vibaya ili kuhalalisha " failures" zenu ndio adui mkubwa sana wa maendeleo yenu, lazima muwe honest kwenu wenyewe ili muambiane ukweli.

Tatizo la Kenya sio ardhi ya kuzalisha chakula, tatizo ni Sera zenu za uchumi, ambapo ardhi yenu hiyo nzuri sehemu kubwa ipo mikononi mwa matajiri, ambao hawaoni faida ya kulima mahindi, mbona mnaongoza duniani kwa kilimo cha chai, vipi mshindwe kuzalisha chakula japo cha kujilisha wenyewe?.

Pili ni tatizo la rushwa na uzembe ktk serikali yenu, kila mradi unapoanzishwa haufanikiwi kwa sababu ya rushwa na uzembe, endapo miradi ya Galana kulalu na zile " dams" zingekamilika, shida ya njaa ingepungua sana kama sio kwisha kabisa.

Badala ya kuambia huu ukweli, ninyi mumekazania ukame na jangwa kuwa ndio tatizo kubwa, ili kujiliwaza msionekane wazembe.
Nyani haoni kundule. Omba omba Magufuli alipata madawati kutoka kwa Zuma?
Nchi yeni ni ya Maziwa na Asali lakini kuzungusha vibakuli, grants, loans and donations zimekolea huko.

Tanzania is one of the most abundantly endowed with natural resources just like most of other African countries, but is still ranked high amongst the 25 poorest countries in the world. Private investment in mineral sector in Tanzania is in place for almost 20 years since the country opened its doors for foreign direct investment (FDI) but has not reduced poverty; since more than 12 million Tanzanians are living under one US dollar.

NB: Kuna Nchi 195 duniani Tz ni position 169th kwa Umasikini 😭😭😭😭
 
Back
Top Bottom