Kenya kuimport magunia milioni kumi na miwili ya mahindi. Tanzania, Mexico na wengine muwe tayari tunakuja kununua

Kenya kuimport magunia milioni kumi na miwili ya mahindi. Tanzania, Mexico na wengine muwe tayari tunakuja kununua

Matakataka!
J
Kenya ipate maliasili yoote hato?Mlionayo wabongo na waarabu? mtajinyea mashetani....aiseeei!
 
Chai. Ha ha ha haaaaa ... Sehemu kubwa ya chai inatoka Bongo. Na hivi karibuni Bongo wataacha kupeleka chai KENYA. Na kupeleka China na Urusi. Ndipo utajua Kenya ni ngapi duniani
You have a long way to go.
 
Back
Top Bottom