Kenya kujenga kituo cha Umeme wa Nyuklia chenye kugharimu dola Bilioni 5 na kuzalisha Megawati 4000

Wawekee hizo plant za nyuklia upande wa somali tu kule ili yakilipuka hayo makinu yawalipukie maadui zao akina alishababu.... Ila wasituletee upuuzi wao huu upande huku.....
Mbona chuki na Wasomali kwani sio binadamu?
 
Hii ni plan ya kukopa pesa .ile ya covid !9 inaanza kuisha hiyo ni plan B
 
Habari member wa kamati ya roho chafu na wapiga ramli! If you look at history this is how it goes
Kenya: We will put up a big project.........
Tanzanian: Hamuwezi !!!! (Roho chafu kama kawaida)
Kenya: We have started on the project.....................
Tanzanian: Tembo mweupe hiyo (Roho chafu tena tumezoea)
Kenya: We have completed the project and it has exceeded expectations in value for money and contribution to GDP....................
Tanzanian: (Amechanganyikiwa) Kibera, njaaa, kibera, njaa

NB: Kenya ilipata ilani kitambo sana kujenga hii nuclear power plant. Among the bidders ni south korea, japan, britain, china na russia.
 
Wakenya waanze na mambo wanayoyaweza vizuri kama kulima mahindi ili waweze kula ugali na sukuma wiki roho ikiwa imetulia. Siyo watu wanakufa njaa afu unaanza kuja na hoja kama hizi.
 

Hizi sio story kweli? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…