Kenya kuna gazeti moja tu la Kiswahili

Kenya kuna gazeti moja tu la Kiswahili

mhalisi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
1,181
Reaction score
322
[h=1]Kenya kuna gazeti moja tu la Kiswahili… litazame hapa.[/h]


Tanzania na Kenya ndio nchi pekee za Afrika Mashariki ambazo zinaongoza kwa kuzungumza sana lugha ya Kiswahili tofauti na Rwanda, Burundi na Uganda.

Katika vitu ambavyo nilikua sivijui ni pamoja na hii kwamba pamoja na Wakenya kuwa mahiri kwenye kuongea Kiswahili, wanalo gazeti moja tu la Kiswahili linalotoka Nairobi liitwalo Taifa Leo huku hayo mengine yaliyobaki yakiwa ni ya Kiingereza.
Navutiwa na aina ya kiswahili chao wanachokitumia kwenye vichwa vya habari mfano hii waliyoandika ‘Nyota kutoka Afrika wenye visura tamanifu’
Naambiwa gazeti hili linafanya vizuri sana kwenye mauzo na lina rekodi ya kuuzika bila kopi kubaki, vilevile ni gazeti lenye miaka na miaka toka kuanzishwa kwake miaka ya 50.


hii habari ni kutoka kwenye blog ya Millard Ayo
 
Miaka hiyo ya 50 mpaka 60 pia walikuwa na gazeti maarufu sana liitwalo 'BARAZA'.Lilikuwa linasomwa sana hapa Tanzania hasa Moshi na Arusha.Mtu mmoja akiitwa Omar Chambati alikuwa na hadithi za kusisimua sana kwenye hilo gazeti.
 
Back
Top Bottom