Kenya kuondoa lockdown baada ya mzungu?

GODZILLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2014
Posts
5,909
Reaction score
10,542
Kwa mfano leo hii hao akina Trump wakisema kwamba wamefanikiwa kuidhibiti corona na kuimaliza, ni lipi watafanya hawa wazungu wenzao waliopo Kenya?

Na wao wataiga au wataondoa lock down kimya kimya?

Kuweka rekodi sawa tu, Tanzania ilirejesha shughuli za watu miezi miwili imepita sasa pamoja na kufungua mashule na vyuo. Mpaka wakati huu mambo yako shwari kabisa. Hakuna maiti wala mtu kuugua.

Nilitarajia kwamba hawa majirani zetu watakuwa wamejifunza japo kwa kutizama, kumbe bado wanasubiri tamko la Trump?

Kule Uganda naona museven ameanza kulegeza kimya kimya kwa aibu!

Hawa wazungu wa Kenya bado wanakokotoa tu minamba ya COVID huku wakingojea maelekezo ya kusitisha kukokotoa toka ughaibuni!

Ama kweli mbio za sakafuni huishia ukingoni!
 
Jana DRC nako wameona ni ujinga acha tujiripue tu, shughuri zote huru!! Hao wengine yatawashinda tu wanaona aibu wamesha kula pesa za wazungu kupitia misaada na mikopo nafuu!!! Sasa itakuwaje?!!!
 
Wakenya wana mambo ya ajabu sana....wananchi wanateseka for nothing....kuiga iga mambo ya wazungu kunawacost.
 
Poleni kwa msiba wa aliyekua rais wenu mzee Mkapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…