Kenya kupiga marufuku matumizi ya chupa za plastiki mwaka huu

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299


KENYA: Mamlaka ya Usimamizi wa Mazingira, imepanga kufungia matumizi ya chupa za plastiki mwaka huu.

Sababu za kufungia ni kutokana na madhara ya chupa hizo katika mazingira kama ilivyo mifuko ya plastiki ambayo ilifungiwa mwaka jana

Mwenyekiti wa bodi hiyo amewapa washikadau hadi tarehe 30 Aprili kukubaliana na maelekezo yatakayoweka mkondo wa kuanza kwa marufuku hiyo

Kenya ilipiga matumizi ya mifuko ya plastiki mwaka jana na imesema itafungia masoko ambayo bado mifuko hiyo inaendelea kutumika

Moja ya wadau waliotoa dukuduku lao ni kampuni ya Coca cola imeomba kuahirishwa utekelezaji wa marufuku hiyo na kusema wapo katika mpango wa kuazisha kiwanda kitakachokuwa kinachakata chupa hizo kwa ajili ya kutumika tena


 
Good move on eradicating the plastic waste menace.
 
Kenya sio kama Bongo
Sio Dawa wangewekeza kwenye matumizi mbadala wa CHUPA hizo kama malighafi, mfano kuzalisha dizeli,petrol, lami,vigae,matofali,Umeme, nk ili kuondoa uchafuzi wa mazingira, maana huwezi ishi bila plastic kwa 100%
 
Na vikombe na sahani pamoja na bakuli za plastic na ndoo pia wasisahau halafu mi naona kama haiwezekani vile tutaishi vipi bila plastic?
 



I hope you guys have a recyling plant as well...What happens to the plastic on the ground? Infact this is a business idea for enterpreneurs..Maybe I should apply for a license to open a small one...((wera ni wera)..as my friend always says)..Wonder if the open border policy is in effect yet..

 
Vipo vingi sana hivyo
 
What matters is capital. If you have capital then Kenya is open for business my brother.
 
Unakarishwa, recyclers wako lakini hawatoshi, njoo uongeze , huku tunajaribu kila aina ya tambo kupunguza plastic iliyotupwa


Wengine wamejaribu kuzitumia kama ukuta ambapo plastic iliojazwa mchanga inatumika kuondia garama ya mawe -watamu


Wengine wameziyayusha na kutengeneza post za fence


Wengine boti la baharini




Wengine wanatengeneza industrial fuel
 
Good...got some ideas...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…