ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kwa upande wa Tanzania sijui tunatafsiri vipi Demokrasia,kina watu tena viongozi wa siasa mara kadhaa wamesikika wakidhalilisha viongozi Wakuu wa Nchi,kueneza chuki za ubaguzi wa kikabila,Jinsia na ukabila sanjali na aina nyingine za manyanyaso ya kijinsia wakiachwa wanatamba na kuendelea kuleta sintofahamu kwenye jamii na mstakabali wa Nchi.
Nitie wito kwa Serikali kuanza kuwashughulikia hao watu Kwa Nguvu zote,hakuna Demokrasia ya hivyo hata huko Kwa wenye Katiba Mpya 😂.
View: https://x.com/africaupdates/status/1879735018983186469?t=Sqnkh9VfqvOgORtuZuTYBw&s=19