Kenya kupitisha sheria kali kwa wanaodhalilisha viongozi, kueneza chuki na mgawanyiko

Kenya kupitisha sheria kali kwa wanaodhalilisha viongozi, kueneza chuki na mgawanyiko

Kiongozi yeyote wa umma asiyetaka kukosolewa aache uongozi akafanye kazi zake binafsi, hakuna atakayemfuata nyumbani kwake kumkosoa.

Haiwezekani uwe mtumishi wa umma, unalipwa na kugharimiwa kila kitu kwa kodi za wananchi na unatumia ofisi za umma halafu ujigeuze kuwa mungu, kwamba hutaki kukosolewa na waajiri wako ambao ni umma, kwani hiyo kazi ni yako binafsi?!
Kutukana sio kukosoa mnatakiwa kupelekewa moto

View: https://www.instagram.com/reel/DE3GB3atjwE/?igsh=MTJzYWplZ3EzZTlhbg==
 
Back
Top Bottom