ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Na hiyo sheria iwe msumeno.Je,hao viongozi kama ni kweli waovu wafanyweje kisheria?Hakuna kutetea wala kulinda wajingawajinga.Kwa upande wa Tanzania sijui tunatafsiri vipi Demokrasia,kina watu tena viongozi wa siasa mara kadhaa wamesikika wakidhalilisha viongozi Wakuu wa Nchi,kueneza chuki za ubaguzi wa kikabila,Jinsia na ukabila sanjali na aina nyingine za manyanyaso ya kijinsia wakiachwa wanatamba na kuendelea kuleta sintofahamu kwenye jamii na mstakabali wa Nchi.
Nitie wito kwa Serikali kuanza kuwashughulikia hao watu Kwa Nguvu zote,hakuna Demokrasia ya hivyo hata huko Kwa wenye Katiba Mpya 😂.
View: https://x.com/africaupdates/status/1879735018983186469?t=Sqnkh9VfqvOgORtuZuTYBw&s=19
🚮Kwa upande wa Tanzania sijui tunatafsiri vipi Demokrasia,kina watu tena viongozi wa siasa mara kadhaa wamesikika wakidhalilisha viongozi Wakuu wa Nchi,kueneza chuki za ubaguzi wa kikabila,Jinsia na ukabila sanjali na aina nyingine za manyanyaso ya kijinsia wakiachwa wanatamba na kuendelea kuleta sintofahamu kwenye jamii na mstakabali wa Nchi.
Nitie wito kwa Serikali kuanza kuwashughulikia hao watu Kwa Nguvu zote,hakuna Demokrasia ya hivyo hata huko Kwa wenye Katiba Mpya 😂.
View: https://x.com/africaupdates/status/1879735018983186469?t=Sqnkh9VfqvOgORtuZuTYBw&s=19
Kwa hiyo unapendekeza wawatukane wanaume tu.Kweli kabisa, ningependa Tume ya Uchaguzi na Msajili wa Vyama waanze kwa kutunga kanuni kudhibiti udhalilishaji wa kijinsia, ubaguzi wa eneo analotoka mtu, na ukabila.
Naona kama kutukana wanawake imekuwa sehemu ya siasa za Lissu na Heche. adhabu iwe kufungiwa kugombea nafasi yoyote ya kisiasa kwa miaka mitano
Ni wapi hawataki? Mbona unaongea mada hazihusiani?🚮
Mnateka na kuua wananchi kwa sababu nyepesi za kijinga kijinga na bado hamjatosheka?!!!
Kwa hiyo wananchi hawana haki ya kukosoa watawala waovu?
Mazuri yanaigwa kwetu ,Hilo ni jambo baya?Nyie ni mabingwa wa kuiga mambo mabaya tu. Mambo mazuri aaaaa
Hivi wanayo sheria ya kuwaadhibu viongozi wanaodhalilisha wananchi?Kwa upande wa Tanzania sijui tunatafsiri vipi Demokrasia,kina watu tena viongozi wa siasa mara kadhaa wamesikika wakidhalilisha viongozi Wakuu wa Nchi,kueneza chuki za ubaguzi wa kikabila,Jinsia na ukabila sanjali na aina nyingine za manyanyaso ya kijinsia wakiachwa wanatamba na kuendelea kuleta sintofahamu kwenye jamii na mstakabali wa Nchi.
Nitie wito kwa Serikali kuanza kuwashughulikia hao watu Kwa Nguvu zote,hakuna Demokrasia ya hivyo hata huko Kwa wenye Katiba Mpya 😂.
View: https://x.com/africaupdates/status/1879735018983186469?t=Sqnkh9VfqvOgORtuZuTYBw&s=19
Situkani Wala kudhalilisha mtuHalafu utajikuta wewe ni wa kwanza. 🤣🤣🤣
Kwa upande wa Tanzania sijui tunatafsiri vipi Demokrasia,kina watu tena viongozi wa siasa mara kadhaa wamesikika wakidhalilisha viongozi Wakuu wa Nchi,kueneza chuki za ubaguzi wa kikabila,Jinsia na ukabila sanjali na aina nyingine za manyanyaso ya kijinsia wakiachwa wanatamba na kuendelea kuleta sintofahamu kwenye jamii na mstakabali wa Nchi.
Nitie wito kwa Serikali kuanza kuwashughulikia hao watu Kwa Nguvu zote,hakuna Demokrasia ya hivyo hata huko Kwa wenye Katiba Mpya 😂.
View: https://x.com/africaupdates/status/1879735018983186469?t=Sqnkh9VfqvOgORtuZuTYBw&s=19
Kutukana na kudhalilisha kama kina Heche sio ukosoajiUkiona kiongozi ni muoga wa kukosolewa basi elewa huyo ni dikteta.
Kiongozi yeyote wa umma asiyetaka kukosolewa aache uongozi akafanye kazi zake binafsi, hakuna atakayemfuata nyumbani kwake kumkosoa.Ni wapi hawataki? Mbona unaongea mada hazihusiani?
Hahahahah wakati hayati JPM anawapelekea moto wapuuzi wa aina hio aliitwa kila jina baya na la kikatili.🤣 Haswa kuitwa mtu ambaye hakupenda demokrasia na dikteta.Kwa upande wa Tanzania sijui tunatafsiri vipi Demokrasia,kina watu tena viongozi wa siasa mara kadhaa wamesikika wakidhalilisha viongozi Wakuu wa Nchi,kueneza chuki za ubaguzi wa kikabila,Jinsia na ukabila sanjali na aina nyingine za manyanyaso ya kijinsia wakiachwa wanatamba na kuendelea kuleta sintofahamu kwenye jamii na mstakabali wa Nchi.
Nitie wito kwa Serikali kuanza kuwashughulikia hao watu Kwa Nguvu zote,hakuna Demokrasia ya hivyo hata huko Kwa wenye Katiba Mpya 😂.
View: https://x.com/africaupdates/status/1879735018983186469?t=Sqnkh9VfqvOgORtuZuTYBw&s=19
Hao Wapare wa Lake Jipe wamepagawa😁 mi sihitaji kabisa kuwa Mkenya.