Kenya kupoteza bandari ya Mombasa?

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
9,524
Reaction score
13,682
Hii ni kutokana na kusua sua kulipa deni la takribani Ksh bilioni 400 zilizokopwa Exim Bank ya China kwa ajili ya kujenga reli ya standard gauge kutoka Mombasa hadi Nairobi.

Endapo hii itatokea itakuwa pigo kubwa sana kwa ustawi wa Kenya.

Source: Radio RFI
 
Waliweka bondi bandari.? Wachina watawanyoosha.
 
Wishfull thinking. Faida yako wewe kama kenya ikipoteza bandari ni nini. Unategemea mchina akichukua bandari ya kenya sisi tutapata chochote dar.
 
Nchi za kiafrika chini ya jangwa la sahara wote tuna madeni yanayoligana . usijifariji kuwa Tz tuko salama kumbuka wahenga walisema mwenzio akinyolewa na wewe tia Maji kichwa chako. Hivi unajua Tz inakusanya kiasi gani kwa mwezi na inalipa kiasi gani deni la nje kwa mwezi. Tukiongeza deni SGR na Stiegler' s gorge deni letu halihimiliki. Ndiyo utajua kuwaombea Jirani zako mabaya na wewe yataukuta.
 
Silly said:
Wishfull thinking. Faida yako wewe kama kenya ikipoteza bandari ni nini. Unategemea mchina akichukua bandari ya kenya sisi tutapata chochote dar.
Pumbavu! Nimekupa source ya news wewe bado unabwabwaja!
 
Bandari ya Mombasa haiendi popote you can take that to the bank
 
Dola billion 400 unazijua mkuu?

Angalia figures zako vzr.
 
Acha kuzungumza vitu usivyovijua wewe, nani kakuambia Rufiji hydroelectric dam tunakopa?, Kenya hayo matatizo waliyataka wenyewe hakuna mtu yoyote aliyeeaombea matatizo, kila walivyokuwa wanashauriwa walikataa na kujifanya wajuaji, hadi Leo hii bado wanakataa kwamba hakuna tatizo lolote na hakuna kosa lolote walilofanya.
 
kwahyo china kama itachukuwa hyo PORT manak mapato yot asilimia 100 yatakuwa yanaenda uchina au???
 
Mchina balaa kila taifa litalia
USA wanasema adui mkubwa kwa sasa sio Russia bali ni China
Huyu ni mwizi mkubwa duniani
Na ataiba kwa mbinu zote
 
#UPDATE: Exim Bank of China may take over Mombasa port if Kenya fails to service the loan it took to build SGR, says report by Auditor-General Edward Ouko.
 
I'm a sort of credit facility that China advanced to Kenya. coz i never heard such kind of arrangement before.
 
eeeeeeeh..Mdanganyika kwa fitna.....duuuuh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…