Kenya kurusha Satellite anga za juu kwa mara ya kwanza siku ya Ijumaa

Habari wanajamvi, nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye mada husika

Hivi karibuni tumesikia nchi ya Kenya ikizindua satellite yake huko Japan na mnano ijumaa itarushwa rasmi angani na kuanza kazi.


Ni jambo la kujipongeza sana hasa kwa nchi zinazoendelea kupiga hatua kama hiyo na gharama yake ni dollar za marekani million moja ambayo ni takribani zaidi ya billion 2.4 za Kitanzania. Ila nina maswali kadhaa kwa wajuvi wa mambo na wale wataalamu wa mambo ya mitambo wanisaidie
1. Satellite hiyo ina manufaa gani especially kwa nchi masikini kama Kenya?
2. Kama ina manufaa na tija kwa taifa kwanini Tanzania tusirushe yetu?! sababu naamini billion 2.4 sio hela kubwa kulinganisha na hela zinazopotea kwenye miradi isiyo na tija
3. Nini madhara ya kuwa na satellite yako binafsi kwa nchi za ulimwengu wa tatu especially kwa jicho la nchi za ulimwengu wa kwanza kibiashara, kisiasa na kijamii?
4. Je hii ina uhusiano wowote na mambo ya server na data i mean internet access kwa ujumla? Kama ni ndio je inamaana tunaweza kutumia server za Kenya pamoja na internet bundle toka kwao iwapo satellite yao itakua successful?
Nawasilisha kwenu wanajamvi na wajuvi wa mambo, Akhsanteni sana
 
Ongeza swali lingine haiwezi gonga ndege angani?
 
Kenya imepanga kurusha angani satelaiti yake ya kwanza iliyotengenezwa na wazawa siku ya Ijumaa Mei 11, 2018.

Satelaiti hiyo imegharimu takribani dola za marekani milioni 1(Ksh milioni 100).

Satelaiti hiyo imetengenezwa na watafiti na wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwa msaada wa Chuo Kikuu cha Sapienza cha Italia na wabobezi kutoka Wakala wa Uchunguzi wa Anga za Juu wa Japan.

Satelaiti hiyo itarushwa kutokea Japan na Waziri wa Elimu, Bi. Amina Mohamed atakuwepo kushuhudia tukio hilo.

Itatumika kukusanya taarifa za mabadiliko na utabiri wa hali ya hewa, ufuatiliaji wa wanyamapori, ufuatiliaji wa ukanda wa bahari, usafirishaji na ugavi.

Story Credit to JamiiForums and bbc.
-
[HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] tuko bize kutafuta nani anatumiwa na wazungu na mabepari kuchelewesha maendeleo ya nchi, nani siyo mzalendo, nani anamuita Magufuli Dikteta n.k. Kwa kweli kupanga ni kuchagua.

[HASHTAG]#Mtatiro[/HASHTAG] J
 
Dats Iz Y? Niliachaga Tz citizen
 
Sisi mbona kitambo tunarusha risasi na hatujitangazi???

Japo risasi hazikufua dafu
 
Tukirusha satellite mtakejeri kwani inamsaidiaje mtu Wa kijijini!vinyonga
 
Kwani satellite ina umuhimu gani kushinda stigla gorge na bombardier!! Mdharau cha kwao mtumwa.
Stigla gorge [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji33][emoji33]
 
Stigla gorge [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji33][emoji33]
Hujaelewa au
 
Kwani satellite ina umuhimu gani kushinda stigla gorge na bombardier!! Mdharau cha kwao mtumwa.
Bombadier ya nn ilihali kuwa wananchi toka uhuru mpaka sasa wanashida ya maji, umeme na other basic needs, kwa nn hizo hela wasingekazia kutatua kero hizo za muda mrefu kwanza halafu ndo wangeamia huko kwenye Ndege.
 
Sisi hapa tanzania ndio kwanza tutaanza kunyimwa mikopo ya elimu ya juu eti kisa tunasoma private schools......acheni SAFARI COM Awampe yule mkenya awe CEO
 
Tunakwenda vizuti mmno! Tuko kwenyd lait traki so tutembee kifua mbele.
 
$1 million for rotating piece on the space meanwhile the taxpayers life
 
$1 million for rotating piece on the space meanwhile the taxpayers life
That's why I wanted to know exactly the benefit of having that satellite especially to a poor country like Kenya? If there are benefits then can you mention them please
 
That's why I wanted to know exactly the benefit of having that satellite especially to a poor country like Kenya? If there are benefits then can you mention them please
There's no even a fake benefit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…