Kenya kurusha Satellite anga za juu kwa mara ya kwanza siku ya Ijumaa

Kenya kurusha Satellite anga za juu kwa mara ya kwanza siku ya Ijumaa

There's no even a fake benefit
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] but I guess there must be some few benefits cause a country like Kenya have highly economic elites, spending that huge amount of money with zero benefit is totally impossible...
 
The Citizen Tanzania‏ @TheCitizenTZ 8h8 hours ago
Kenya is set to launch its first locally made Ksh100milion (about USD 1m) satellite on Friday, marking the country’s venture into space science [HASHTAG]#TheCitizenToday[/HASHTAG]
View attachment 770242
Uandishi wa Habari wa aina Hii ni Hatari sana...........!!!! Hivi Unajua Gharama za kurusha na kucontrol Satelite kweli wewe..........!!!??? Labda Ziungane Nchi zote za Afrika na Wafunge Mikanda kwa miaka kadhaa mpaka Viuno viwe kama vya NYIGU/DONDOLA.....................Eti Kenya kurusha Satelite......Labda ya kichawi.............!!!
 
Kwani satellite ina umuhimu gani kushinda stigla gorge na bombardier!! Mdharau cha kwao mtumwa.
Tukirusha satellite mtakejeri kwani inamsaidiaje mtu Wa kijijini!vinyonga
Stigla???
[emoji23] [emoji23]
Inaonekana unapenda sana kujadili mambo makubwa na mazito ila uwezo wako na uelewa ni mdogo sana!
Soma kwanza mdogo wangu
 
That's why I wanted to know exactly the benefit of having that satellite especially to a poor country like Kenya? If there are benefits then can you mention them please
Wewe mtoa mada, matumizi ya hiyo satellite yako mentioned kwenye source ya hiyo habari sijajua kama hukuona au umeiacha makusudi, kingine nilichojifunza sio kutumia bilioni mbili! Maana wengine wanaanza kuonyesha hizo billioni mbili sijui zingesaidia masikini, foolish. Kwa waelewa tunachokiona ni hatua ambayo wanafunzi wa engineering wa kenya walivyopiga hatua, Tunaviangalia zaidi hivyo vi billioni mbili kuliko uwekezaji unaofanywa, na ndipo tunapofeli, anyway ngoja miaka 20 ijayo usike tanzania inanua satellite made in kenya kwa billioni 15. Ndio utajua faida ya kinachoendelea.
IMG_6023.PNG
 
View attachment 770353
Umenisoma vibaya, nimeuliza "ina manufaa gani kwa nchi masikini kama Kenya? Kabla ya hiyo satellite kua launched currently wanatumia mfumo gani katika sector zote hizo mentioned? Kila nchi inaweza kua na satellite yake yenyewe kama bei yenyewe ndio hiyo ila swala ni je in manufaa yoyote yale au ni just pride kua na nyie mna satellite tu?
 
hii ni good news....tunaomba kujua majina ya wanasayansi waliotengeneza ...hii satelite....
 
It will be used to scan for hungry kenyans and to supply relief food and water.
 
Uandishi wa Habari wa aina Hii ni Hatari sana...........!!!! Hivi Unajua Gharama za kurusha na kucontrol Satelite kweli wewe..........!!!??? Labda Ziungane Nchi zote za Afrika na Wafunge Mikanda kwa miaka kadhaa mpaka Viuno viwe kama vya NYIGU/DONDOLA.....................Eti Kenya kurusha Satelite......Labda ya kichawi.............!!!
wanarusha mdoli tu huo angani sijaona Satelite hapo ila wamepigwa hela kwa kuuziwa hicho kikopo eti satellite [emoji16][emoji16] . siku wakirusha gps mnitag
 
Back
Top Bottom