[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] but I guess there must be some few benefits cause a country like Kenya have highly economic elites, spending that huge amount of money with zero benefit is totally impossible...There's no even a fake benefit
Uandishi wa Habari wa aina Hii ni Hatari sana...........!!!! Hivi Unajua Gharama za kurusha na kucontrol Satelite kweli wewe..........!!!??? Labda Ziungane Nchi zote za Afrika na Wafunge Mikanda kwa miaka kadhaa mpaka Viuno viwe kama vya NYIGU/DONDOLA.....................Eti Kenya kurusha Satelite......Labda ya kichawi.............!!!The Citizen Tanzania @TheCitizenTZ 8h8 hours ago
Kenya is set to launch its first locally made Ksh100milion (about USD 1m) satellite on Friday, marking the country’s venture into space science [HASHTAG]#TheCitizenToday[/HASHTAG]
View attachment 770242
Kwani satellite ina umuhimu gani kushinda stigla gorge na bombardier!! Mdharau cha kwao mtumwa.
Stigla???Tukirusha satellite mtakejeri kwani inamsaidiaje mtu Wa kijijini!vinyonga
Kwa hiyo huo uwezo tunao siyo!!?Tukirusha satellite mtakejeri kwani inamsaidiaje mtu Wa kijijini!vinyonga
Wewe mtoa mada, matumizi ya hiyo satellite yako mentioned kwenye source ya hiyo habari sijajua kama hukuona au umeiacha makusudi, kingine nilichojifunza sio kutumia bilioni mbili! Maana wengine wanaanza kuonyesha hizo billioni mbili sijui zingesaidia masikini, foolish. Kwa waelewa tunachokiona ni hatua ambayo wanafunzi wa engineering wa kenya walivyopiga hatua, Tunaviangalia zaidi hivyo vi billioni mbili kuliko uwekezaji unaofanywa, na ndipo tunapofeli, anyway ngoja miaka 20 ijayo usike tanzania inanua satellite made in kenya kwa billioni 15. Ndio utajua faida ya kinachoendelea.That's why I wanted to know exactly the benefit of having that satellite especially to a poor country like Kenya? If there are benefits then can you mention them please
Umenisoma vibaya, nimeuliza "ina manufaa gani kwa nchi masikini kama Kenya? Kabla ya hiyo satellite kua launched currently wanatumia mfumo gani katika sector zote hizo mentioned? Kila nchi inaweza kua na satellite yake yenyewe kama bei yenyewe ndio hiyo ila swala ni je in manufaa yoyote yale au ni just pride kua na nyie mna satellite tu?Wewe mtoa mada, matumizi ya hiyo satellite yako mentioned kwenye source ya hiyo habari sijajua kama hukuona au umeiacha makusudi, kingine nilichojifunza sio kutumia bilioni mbili! Maana wengine wanaanza kuonyesha hizo billioni mbili sijui zingesaidia masikini, foolish. Kwa waelewa tunachokiona ni hatua ambayo wanafunzi wa engineering wa kenya walivyopiga hatua, Tunaviangalia zaidi hivyo vi billioni mbili kuliko uwekezaji unaofanywa, na ndipo tunapofeli, anyway ngoja miaka 20 ijayo usike tanzania inanua satellite made in kenya kwa billioni 15. Ndio utajua faida ya kinachoendelea.
View attachment 770353
wanarusha mdoli tu huo angani sijaona Satelite hapo ila wamepigwa hela kwa kuuziwa hicho kikopo eti satellite [emoji16][emoji16] . siku wakirusha gps mnitagUandishi wa Habari wa aina Hii ni Hatari sana...........!!!! Hivi Unajua Gharama za kurusha na kucontrol Satelite kweli wewe..........!!!??? Labda Ziungane Nchi zote za Afrika na Wafunge Mikanda kwa miaka kadhaa mpaka Viuno viwe kama vya NYIGU/DONDOLA.....................Eti Kenya kurusha Satelite......Labda ya kichawi.............!!!
Lets settle this once and for all - hunger in TanzaniaIt will be used to scan for hungry kenyans and to supply relief food and water.