Kenya kushindwa kutekeleza maazimio ya Eneo moja la forodha

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
6 October 2022
Namanga, Kajiado
Kenya

KENYA KUSHIDWA KUTEKELEZA MAAZIMIO YA ENEO MOJA LA FORODHA / SINGLE CUSTOMS TERRITORY, KUMELETA KERO KUBWA

WaBunge 'wasomi' kutoka Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki, hili nalo kwa kushirikiana na serikali mkalitatue jambo hili la Eneo la Forodha Moja / Single Customs territory. Tanzania imeridhia suala la Eneo Moja la Forodha lakini upande wa Kenya bado wanaburuza miguu kutekeleza makubaliano hayo ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Hii imesababisha kero kwa wamiliki wa malori na wenye bidhaa toka Tanzania, mbali ya kukwama kibiashara za kuvuka mipaka ktk Afrika Mashariki lakini pia gharama za matumizi wenye malori ya mizigo na wafanyakazi wao kuzidi kwenda juu kutokana na mkwamo wa Kenya kutoridhia Eneo Moja la Forodha kwa nchi wanachama

ZAIDI YA MALORI 600 YA MIZIGO TOKA TANZANIA YAKWAMA MPAKANI NAMANGA

Source : Single Customs Territory
 
22 September 2022
Dodoma, Tanzania

Waliochaguliwa kwenye Bunge la Afrika Mashariki (EALA)


Waliochaguliwa ni; Dk Ng’waru Maghembe, James Kinyasi Millya, Anar Abubakar Kachwamba, Dk Shogo Richard Mlozi, Angela Charles Kizigha, Machamo Ali Machamo, Dk Abdulla Hasnuu Makame na Nadra Juma Mohamed.
Katika Bunge la Eala, Tanzania ina nafasi tisa na kati ya hizo nane ni za Chama Cha Mapinduzi na moja ya vyama vya upinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…