Si ungwana kenya kuendelea na utapeli wa kutangaza mlima kilimanjaro kuwa uko kenya mm ningemshauri Rais kenyatta kutofanya hivyo maana imeonekana kuwa jambo la kawaida kwao lakini Tanzania inakosa mapato kila mwaka kwa ajili ya kenya
Sijasema uhuru bali nchi sasa inaongozwa na mhe uhuru kenyata sasa kama comission ya utalii wanafanya hivyo waache mara moja vinginevyo nitawafungulia kesi ICC ya kuujumu uchumi wetu