gwantemala
Member
- Aug 9, 2016
- 22
- 5
Si ungwana kenya kuendelea na utapeli wa kutangaza mlima kilimanjaro kuwa uko kenya mm ningemshauri Rais kenyatta kutofanya hivyo maana imeonekana kuwa jambo la kawaida kwao lakini Tanzania inakosa mapato kila mwaka kwa ajili ya kenya