Kenya kutumia Corona kuhujumu utalii wa Tanzania

Kenya kutumia Corona kuhujumu utalii wa Tanzania

Ndio nawashangaa hawa wendawazimu, asilimia kubwa ya watalii huwa wanatua uwanja wa ndege JKIA, Nairobi . Ndege kwa sasa hazitoki wala kuingia nchini Kenya, boda nayo imefungwa.
Wasijifanye hawajaona hii
FB_IMG_1590002888106.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hadi muda huu tunadunda la majirani poleni kwa vipigo eti curfew
IMG_20200520_133438.jpg
IMG_20200520_133429.jpg

Mtalaumu kila mtu kwa kuwahujumu ila mwisho wa siku kauli ya kishamba ya rais wenu, kwamba Corona ni kaugonjwa kadogo, itawaandama hadi akili ziwarudie.
 
Back
Top Bottom