povu.Eti hasira? Una wazimu wewe, leo Kenya imewarejesha kwao watanzania 182 ambao wamepatikana wana virusi vya COVID-19.
Usiku usiku kama zile swala za ibada kabla ya kwenda makazini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wacha ituandame,vipi mmemaliza maandamano hapo Nairobi salama?
Eti naskia lockdown yenu ni ya usiku usiku tu???
Poleni kwa njaa+corona
Wasijifanye hawajaona hiiNdio nawashangaa hawa wendawazimu, asilimia kubwa ya watalii huwa wanatua uwanja wa ndege JKIA, Nairobi . Ndege kwa sasa hazitoki wala kuingia nchini Kenya, boda nayo imefungwa.
Mtalaumu kila mtu kwa kuwahujumu ila mwisho wa siku kauli ya kishamba ya rais wenu, kwamba Corona ni kaugonjwa kadogo, itawaandama hadi akili ziwarudie.