Kenya kuwa na Marais 2, Muungano wa Upinzani NASA watishia kumuapisha Raila Odinga kama Rais

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Huenda nchi ya Kenya ikakumbwa na mzozo mkubwa wa kisasa mwaka huu iwapo Rais Uhuru Kenyatta anayeongoza katika kura ambazo zinazozidi kutolewa na tume ya uchaguzi IEBC kama atatangazwa mshindi na kuapishwa.

Baadhi ya viongozi wa muungano wa upinzani NASA nchini Kenya, wamesema jana Jumamosi kwamba iwapo Rais Uhuru Kenyatta atalishwa kiapo cha muhula wa pili baada ya uchaguzi wa marudio wa nafasi ya urais uliozua utata, basi watamuapisha kiongozi wao Raila Odinga kama Rais.

Wakizungumza katika eneo la Mavoko Kaunti ya Machakos, wanasiasa hao, wakiongozwa na wakili wa muungano huo na Seneta wa Kaunti ya Siaya, James Orengo, walisema kuwa watafanya uchaguzi mwingine chini ya kipindi cha siku 90.

Aliyekuwa Seneta wa Machakos Johnston Muthama alisema Muungano huo uko tayari kumuapisha kiongozi wao.

"Wakimuapisha Uhuru, nasi tutamuapisha Raila", Muthama aliuambia umati wa watu uliokusanyika mjini Mavoko.

"Uchaguzi huru na wa haki ni lazima ufanyike ndani ya siku tisini",Orengo alisema.

Haya yalijiri huku tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC, ikiendelea kujumulisha kura katika kituo cha Kitaifa cha Bomas of Kenya.
 
Dahh namuona kagame anavyotamani kununua hii kesi
 
huyu orengo sijui sheria ya wapi alisomea!!!..... sasa hio sheria ya uchaguzi ndani ya siku 90 ametoa wapi? au kuna katiba nyingine wanayoitumia kulko hii waliyonayo?
 
Matumizi ya nguvu ni mabaya ila sometimes hayaepukiki
Hata mwenyekiti Mao tse tung aliwahi kusema [emoji117] VITA NI MUENDELEZO WA SIASA ILI KUTATUA YALE MATATIZO YALIYO SHINDIKANA KISIASA YAPATE WEPESI [emoji106]
 
huyu orengo sijui sheria ya wapi alisomea!!!..... sasa hio sheria ya uchaguzi ndani ya siku 90 ametoa wapi? au kuna katiba nyingine wanayoitumia kulko hii waliyonayo?
NASA wamechanganyikiwa. Raila ataapishwa kama Rais kwa kura zipi? Na mamlaka ipi kisheria? Ana vyombo vya dola? Na katiba ipi itamruhusu?

Amepoteza dira mkuu
 
Back
Top Bottom