Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhuru ana kura 7.4m polling stations kadhaa tu ndo zimebakia..uchaguzi uliopita alkua na 8.4m turnout inachezea 40% ata citizen tv na zingine walifanya tallying kivyao ya forms na wamethibitisha hio 7.4m.. . ...ata hivyo turnout ikiwa 40% haimanisha hio 60% imebakia ni wafuasi wa NASA(utakua mjinga wa mwisho ukidhania ivo), kuna wafuasi wengi wa jubilee pia hawakupiga kura kutokana na sababu kadhaaMkuu from tarehe nane nafatilia uchaguzi WA Kenya tangia ule uchaguzi WA kwanza....msisikilize zile taarifa za sekunde mbili za ITV na TBC mkadhan mnainfo ya kujitosheleza...
Nampenda Uhuru sana awe rais kwa miaka mitano tena, ila kwa upumbafu anaoufanya kwa mtu wenye akili nzuri huwezi sapoti.mkuu techolojia ni kubwa mno ,watu walio jitokeza kwa uchaguzi WA marudio ni kati ya asilimia 22~33 ya watu million 19 waliojiandikisha kupiga kura.kwa hiki wanachokifanya ni ujinga WA kiwango cha lami kuudanganya ulimwengu kuwa Uhuru kapata kura almost milion Tisa sasa.yaani hii imemvua Nguo kuonesha ni jinsi gani kule kwenye server wanavyo ichezea.
Mkuu kwa logic ndogo tu ,hata Uhuru angepata kura laki moja ni halali yake na angeapishwa kwasababu watu hawalazimishwi kupiga kura ,sasa hizi manipulations anafanya kwa faida ya nani na ili iweje????
Watu kwenye vituo vya kupiga kura unaona kabisa hawapo ,halafu eti mtu anakwambia mifumo ilikuwa fasta sana watu walikuwa wakija wanavote fasta kwa sekunde chache na kuondoka, ndiyo maana kulikuwa hakuna foleni na watu watu vituoni. Kweli Leo ndiyo mifumo imekuwa fastaa????
KWA SISI WAPENDA HAKI ,HATA KAMA UNAONA RAFIKI YAKO ANAKOSEA HUWEZI KUSAPOTI UJINGA ANAOFANYA ETI KISA UNAMPENDA UKAFUMBIA MACHO UJINGA ANAOFANYA ,MWAMBIE UKWELI. LET'S CALL A SPADE , SPADE...NOT A SPOON.
asante mkuuUhasi[emoji735] = uasi[emoji736]