Kenya Kwanini Njaa bado ni Tatizo..?..

I agree. Infact unakuta watu ambao wanakufa ni watatu au wanne tu lakini hio story inafika CNN na BBC eti Kenya kuna baa la njaa. Wanatuharibia jina. How much does it cost to bring food to these people? Kama looting our money ni rahisi na tushawaachia waloot venye wanataka, yaani hawawezi toa one percent ya loot yao wakatupia hao watu wa Northern Kenya. Hata Lazarus wa bible alikuwa anatupiwa mabaki ya chakula akiwa chini ya meza ya mfalme. Lakini hapa Kenya hata mabaki ya corruption au taxes hamwezi onja. Kila mtu ajipange Kenya ina wenyewe.
 
Hiyo ya watoto kula meffi ni juzi tu. Video ipo.Serikali ya Tanzania hudhibiti media so ni ajabu sana kuonakuona hili liliumbuka bila suppression.
Top 10 Facts About Hunger in Tanzania | The Borgen Project
 
Hiyo ya watoto kula meffi ni juzi tu. Video ipo.Serikali ya Tanzania hudhibiti media so ni ajabu sana kuonakuona hili liliumbuka bila suppression.
Top 10 Facts About Hunger in Tanzania | The Borgen Project
Weka video acha Maneno yako, kama serikali inadhibiti, Wewe ulijuaje kama watoto wanakula kinyesi?, kwasababu ya kukosa points, mumeamua kutengeneza storie kama ilivyokawaida yenu. Mauaji ya albino, mnageuza na kusema Tanzania wanakula Albino, sasa hivi mnasema watoto wanakula kinyesi, tukiomba ushahidi, mnasema serikali inadhibiti ushahidi, ninyi ni watu wa hovyo Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ya Kenya inawajari sana wakenye cheki hizi jitiada ambazo serikali yako inakufanyia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Monkey car !!!!!!!!! Eti hii ni bei gani?
Niliskia ziwa turkana ni fresh water lake. Hivi serikali haiwezi tumia akili hapa ili kukumbana na hili baa la njaa?
Nako baringo niliskia ni kwa mstaafu dikteta moi. Kijana wake Gideon anafikiria tu kuhusu urais.
Wenye njaa nao wanazidi kuzaliana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
You have just given a description of a failed state. You only left out the $60bn unpaid loan
 
Hata mtu mmoja kufa kwa kukosa chakula hilo baa la njaa.. Acha ujinga wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka evidence iletwe mara ngapi?
Video: Hili la njaa tusichekane, watoto waishi kwa kula kinyesi
You have just given a description of a failed state. You only left out the $60bn unpaid loan
TOM EATON: Tanzania is winning at becoming a failed state
Monkey car !!!!!!!!! Eti hii ni bei gani?View attachment 1048100

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaulize watengenezaji.sawa monkey mwenzangu?
 
Turkana sits on a 250bn cubic meter aquifer. Kenya consumes 3bn cubic meters every year. Turkana alone can quench the country for over 70 years. This discovery was made in 2013. To date people are dying on top of the aquifer. Tell me again how we don't still need a revolution!! Sijui tufanye kama Venezuela ndio tueleweke 😳😳
 
Nimekuelewa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baringo,kariobange,kakamega kote huko wanakufwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…