Mpendwa1
JF-Expert Member
- Dec 6, 2013
- 568
- 387
Mzee ukisema Tanzania watu wanakufa na njaa wakati watu tuna zaidi ya tani 100 za mahindi na hatuna kwa kuzipeleka soko lishajitoshereza.
Sent using Jamii Forums mobile app
KWANZA - mimi sio mzee, mm ni msichana 🙂
PILI - sio mm niliyesema hivyo, hiyo ni article kwenye media.
TATU - nimemjibu mwenzio hapo juu kwamba kama TZ kuna chakula cha kutosha, mbona kuna world food organization na makampuni mengineyo kama hayo? there hasto be a problem for these organizations to be started, if you are very well self sufficient why have these organizations?
MWISHO - mm sikatai TZ wana afadhali kuliko kenya ikija mambo na njaa, Tz ni BORA, nikisema bora haimaanishi kwamba Tz hakuna shida ya chakula / njaa. Nasema tu, musikane kwamba shida haiko kwenu. Iko afadhali kuliko kenya, lakini shida ipo bado.