Kenya Kwanini Njaa bado ni Tatizo..?..

Kenya Kwanini Njaa bado ni Tatizo..?..

Mzee ukisema Tanzania watu wanakufa na njaa wakati watu tuna zaidi ya tani 100 za mahindi na hatuna kwa kuzipeleka soko lishajitoshereza.

Sent using Jamii Forums mobile app

KWANZA - mimi sio mzee, mm ni msichana 🙂

PILI - sio mm niliyesema hivyo, hiyo ni article kwenye media.
TATU - nimemjibu mwenzio hapo juu kwamba kama TZ kuna chakula cha kutosha, mbona kuna world food organization na makampuni mengineyo kama hayo? there hasto be a problem for these organizations to be started, if you are very well self sufficient why have these organizations?

MWISHO - mm sikatai TZ wana afadhali kuliko kenya ikija mambo na njaa, Tz ni BORA, nikisema bora haimaanishi kwamba Tz hakuna shida ya chakula / njaa. Nasema tu, musikane kwamba shida haiko kwenu. Iko afadhali kuliko kenya, lakini shida ipo bado.
 
Yes, just as the article says "despite denials". You just demonstrated this by your comment. HAHAHAHA!!!

Furthermore kuna world food programme in Tz, kama kweli muko self suffieicient why have these organizations? there has to be a problem for such organizations to exist in order to fix the issue. But if the issue did not exist in the first place them thereis no need for it. "OOh let me guess, you are gonna DENY that those organizations don't exist in Tz" if so, I will give u a chance to research that before you deny.
WFP purchasing food from Tanzania for its outreach they depend on us, they are here too for servicing refugees we host.
 
OMG!! huwa wanafanya hivyo?
nndio hvo bro...serikali ilikuwa inaamua kununua mbuzi wale waliokondeana na kuwapeleka mahali salama...na wanapo recover huwapeleka butchery kuwachinja...

sasa jamaa akipata hyo hela...mtu huenda tena na kununua mbuzi wengine na bunduki mayb...sasa mtu km huyo utamsaidiajr...mchele hawataki,unga wa mahindi hawataki...wao hutaki mahindi na maharagwe tu...yani kitu chenye kitawasaidia hao jamaa ni elimu tu...
 
Msiseme hamna arable land ya kutosha ..mnayo ila mwepa capitalist individuals walime cash crops na avocados...hapa ndo unaona shida ya serikali kutomiliki ardhi ..full capitalism yan hamna huruma....kweli karne hii ni ya watu kufa na njaa ?mnaongoza ku export flowers,avocados,tea ...watu wa turkana watakula hivyo..kwann basi msinunue reserve za kutosha kujaza kwenye maghala?....watu watakula hayo maua na chai washibe .....kweli goverment inajali watu wa Turkana ....mkiangalia hapa Tz ..mnaotusema ni wavivu tuna food mpka tunauza WFP ..kweli hizo hela za maua si mnunue chakula ..au serikali iwe na ardhi yake down south mlime chakula..INASKITISHA SANA WATU WANAKUFA MNAKAA TU SIJUI KUONGEA NA MACRON MIMI NMESKITIKA SANA View attachment 1047417

Sent using Jamii Forums mobile app

jografia ulisoma darasa la ngapi
 
Back
Top Bottom