Kenya kwenye uwanja pamoja na mibabe - Bongo wapo wapi

Vitu vinavyohitaji matumizi ya akili kama hivi hutawakuta, hawa sijui kipi maana hawapo kwa vitu vya akili wala hata kwa vinavyotegemea nguvu maana hata michezo wameshindwa kwenye kila aina ya mchezo...
Hongera sana Kenya... we are a giant in every sector
 
But mmeshindwa kutumia akili hata kidogo katika kuondoa njaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
But mmeshindwa kutumia akili hata kidogo katika kuondoa njaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Tungekua na hata robo ya ardhi mlionayo, Afrika hii ingetukoma, nyie mna hadi madini kote lakini maskini wa kutupwa, halafu naona kwa kutumia ubabe bila akili sasa mumeanza kushtakiwa na makapumni yote ya madini, mindege itakamatwa sana, ona hizi taarifa hapa
 
Na zile slums pia zimesababishwa na kukosa madini na ardhi yenye rutuba au uzwazwa wenu tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na zile slums pia zimesababishwa na kukosa madini na ardhi yenye rutuba uzwazwa wenu tu?

Sent using Jamii Forums mobile app

Slums zipo Marekani kule ambao uchumi wao umezidi wenu mara milioni moja, huwa hazikwepeki, ila pamoja na nchi yetu kuwa kame tupu, zaidi ya nusu yake ni jangwa, licha ya kuwa hatuna madini, na raslimali nyingi ambazo mnazo, uchumi wetu unaelekea kuwa mara mbili yenu.
Slums tunendelea kuwatengenezea nyumba mpya mpya za apartments na kuwahamisha, ni zoezi litakalochukua muda lakini tutafaulu hatimaye, na kuwaacha nyie ambao asilimia 70% ni maskini wa kutupwa, hiyo asilimia 30% ya matajiri imeshikiliwa na wahindi na waarabu, midanganyika mieusi hamuna lolote.

Haya hapa majendo yanayojengwa kwenye slums na kuwahamisha wakazi

 
Aisee, matusi kisa Kenya ipo kwenye orodha ya Forbes kuhusu AI? Mbona naona Tunisia pia wapo? Kwani kuna mtu ambaye amewazuia nyie watz kuwa na mipango yenu na mikakati kwenye masuala ya AI? Kuiponda Kenya kuhusu jambo njema ambalo imefanikiwa kufanya haitabadilisha hali ilivyo. Wala haitafanya Tz itajwe kwenye masuala kama haya kimiujiza miujiza.
 
Ingependeza sana ungemuuliza mleta uzi Kwanini asingeandika hivi "Kenya kwenye uwanja pamoja na mibabe" na sio hivi "Kenya kwenye uwanja pamoja na mibabe - Bongo wapo wapi" wala msinge ingiliwa kwenye uzi wenu,
Siku mkifanikiwa Kupambana na njaa, slums, ukabila hakika tutawapongeza sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Matusi unayaona ya watz ambao wanareturn matusi from your mk254 ambae naona huoni matusi yake.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli hoyeee!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bongo haiwezi kunusa hapo, serikali badala ya kufanya shughuli za maendeleo ya Watu wake imekalia kudhibiti na kununua viongozi wa Upinzani, kukandamiza demokrasia na haki za binadamu, haya ndio mambo yanayowarudisha nyuma, mtapiga mark time saaana.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ndege zitakuwa grounded Hadi lini? joto la jiwe
 
3/4 ya ardhi ni mali ya familia halafu mnasema mna akili, hivi mnashindwa kuinyang'anya hiyo royal family

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…