komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Njoo utuonyeshe hyo 3/4 ya ardhi..manake zaid ya robo tatu ya wakenya wanaishi southern part of kenya...3/4 ya ardhi ni mali ya familia halafu mnasema mna akili, hivi mnashindwa kuinyang'anya hiyo royal family
Sent using Jamii Forums mobile app
Northern part of kenya ni jangwa, na pia kunaishi watu wa chache sana...huku northern kenya ikiwa na eneo sawia na nusu ya kenya yote..
Sasa tuonyeshe hyo robo tatu
Sent using Jamii Forums mobile app