Kenya kwenye uwanja pamoja na mibabe - Bongo wapo wapi

3/4 ya ardhi ni mali ya familia halafu mnasema mna akili, hivi mnashindwa kuinyang'anya hiyo royal family

Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo utuonyeshe hyo 3/4 ya ardhi..manake zaid ya robo tatu ya wakenya wanaishi southern part of kenya...
Northern part of kenya ni jangwa, na pia kunaishi watu wa chache sana...huku northern kenya ikiwa na eneo sawia na nusu ya kenya yote..

Sasa tuonyeshe hyo robo tatu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wa hivyo ni kuwapuuza, halafu utakuja kushangaa unajibizana na mtu mmoja mwenye IDs tofauti.
 
Kwani royal family ina hold sqm ngapi za fertile land?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hii je si mkaichukue kwa familia ya uhuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…