Kenya lags behind in this

Bro mikeka ya zaman hua haibadili hali ya sasa,habar za megawatt 1504 ilikua 2016 uko

Sent using Jamii Forums mobile app
No, it was 2019 not 2016, in 2020 it has increased to 1602 MW. Hopes are pegged on stiegler's dam to produce about 2100 MW but it will not be completed anytime soon.
 
Your Opinion with no reliable sources

Waziri Kalenani anatoa taarifa ya sasa March 2020
 
Reactions: Oii
View attachment 1395663View attachment 1395664Nimeona maboya wakikupa likes ila ukweli utabaki huu! Tufanye bidii sisi sote tufikie 100% kazi ipo!
Waziri amezungumza hadharani na dunia nzima imesikia, huyo ndiye "Primary source " ambapo mashirika mengine yote hupaswa kuchukua taarifa zao, Kama kuna tofauti lazima wakae chini na kukubaliana.

Utakumbuka mwishoni mwa mwaka jana IMF ilisema uchumi wa Tanzania unatarajia kukua chini ya 4% lakini serikali ikasema IMF wamekosea katika kukusanya data walizopewa lakini wakenya wengi mlishangilia sana, mwezi mmoja uliopita hao hao IMF wamekiri kwamba waliofanya makosa na kwamba uchumi wa Tanzania inakua kwa zaidi ya 6%.

Ukweli ni kwamba, katika health care na electricity connectivity, Tanzania haina mpinzani hapa Africa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hurts πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ may be neno hurts lina maana nyingine siku hizi,
Cha ajabu ukiangalia hiyo best education hakuna cha maana mlichokifanya,
Best education na imeshindwa kuwaondolea ukabila,
Best education wakati rwandanese wamejazana udsm na ifm πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sleeping giant ameamka, Bidii tu maneno mengi tumewaachia ndugu zetu wa BBI

Sent using Jamii Forums mobile app
1.Diwani CCM amewasilisha mahakamani ombi la uchaguzi uhairishwe mwaka huu.
2. Mgao wa umeme Tanzania ni kawaida so your 70+% ni uongo mtupu...you mean 1350MW has been distributed to Citizens? What about viwonder vyenu kwani zinatumia nguvu ya wanyama badala ya umeme?
 
Your Opinion with no reliable sources

Waziri Kalenani anatoa taarifa ya sasa March 2020
My facts are from the world bank which is more reliable than your government which has lied about everything from GDP growth, electricity access and human rights. The world bank is more objective that is why i do not quote kenyan sources i choose a neutral source.

World bank report 2018.

Kenya Charts Path to Achieving Universal Access to Electricity
 
Facts bro facts. World bank data as reported

1) Kenyan workers ranked among best in Africa : The Standard
2)NEWS INDEPTH: Kenya beats sub-Saharan Africa peers in World Bank
3) Kenya Ranked 4th Most Influential Country In Africa; Beats Resource-Rich Countries – Strategic Intelligence Service
 
Try listening and reading for a change, do not be the common ignorant Tanzanian that most of your compatriots are.
 
Try listening and reading for a change, do not be the common ignorant Tanzanian that most of your compatriots are.
Wewe ndio unatakiwa usome ubadilike uachane na ukabila,
Unafika hadi university lakini bado unabagua wengine kisa ukabila πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa hiyo elimu ina faida gani!
 
Installed power generation capacity Kenya ,Tanzania.
Kenya 2130 MW
Tanzania 1340 MW
Kenya power generating capacity almost double Tanzania capacity.
 
Nazungumzia vitu vya maana na sio huu upupu!
What is more important than education? Truly as they say "If you think education is expensive try ignorance". You sir epitomize the national Tanzanian ethos of ignorance. That is why multi national companies and kenyan companies will always choose kenyans to manage their Tanzanian branches. You even offer adverts hiring exclusively kenyan teachers
 
Mkuu kati ya World Bank ambao huwapa mikopo ya miradi hii ya umeme na Waziri toka Republic of Magufulistan, ambapo kuna sheria za takwimu unataka tumuamini nani?
Credible source ni Energypedia au World Bank. Ila hulazimishwi, ikiwa unamkubali bwana waziri ni sawa pia.
 
Tofautisha vitu vya maana na vitu visivyo na maana yoyote,
Unasoma hadi university lakini bado unaendekeza ukabila!
Unajisifu una elimu nzuri wakati bado una ujinga.
Did you read those links or are you incapable of understanding/comprehending simple english?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…