Waziri amezungumza hadharani na dunia nzima imesikia, huyo ndiye "Primary source " ambapo mashirika mengine yote hupaswa kuchukua taarifa zao, Kama kuna tofauti lazima wakae chini na kukubaliana.
Utakumbuka mwishoni mwa mwaka jana IMF ilisema uchumi wa Tanzania unatarajia kukua chini ya 4% lakini serikali ikasema IMF wamekosea katika kukusanya data walizopewa lakini wakenya wengi mlishangilia sana, mwezi mmoja uliopita hao hao IMF wamekiri kwamba waliofanya makosa na kwamba uchumi wa Tanzania inakua kwa zaidi ya 6%.
Ukweli ni kwamba, katika health care na electricity connectivity, Tanzania haina mpinzani hapa Africa.
Sent using
Jamii Forums mobile app