Kenya lags behind in this

Ati world bank is more reliable than our own government. Is it more reliable than your government?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe hawa jamaa wa Angola.. Namibia na Botswana si chochote si lolote? Nilijua kwao watakuwa wamepiga hatua sana suala la umeme
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ni nani aijuaye nchi, government officials au those foreign institutions. Nyinyi wakenya kama hamuamini serikali yenu, hatufanani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwamba hawaamini serikali yao, wala hawajui jinsi hao WB na IMF wanavyopata data kutoka nchi husika, hawa jamaa hawana akili kabisa, tatizo ni kukosa akili ya kujua jinsi dunia inavyofanya kasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nadhani mfumo wa elimu yenu unatukuzwa sana na hao mabwanyenye wenu wazungu vile mmeiga kwao, ila jua, China, Korea, ujerumani na nchi zingine ambazo hazifagilii lugha za wakoloni wako zina hatua kubwa sana ktk elimu,nakuhakikishia kijana wa darasa la Saba tz anauelewa mpana sana wa kuelewa mambo kwa lugha mama aliyojifunzia,tatizo linakuja pale lugha inapobadika baadae kwa miaka 6.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kwamba hawaamini serikali yao, wala hawajui jinsi hao WB na IMF wanavyopata data kutoka nchi husika, hawa jamaa hawana akili kabisa, tatizo ni kukosa akili ya kujua jinsi dunia inavyofanya kasi

Sent using Jamii Forums mobile app
Woi, these folks are so stupid beyond repair, they think world bank ndio inajua vijiji vyote na chocho zote za nchi and that they pass through each & every house to collect their own data.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania has the best doctors and best Hospitals, just behind South Africa in the continental [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Talk of a stupid sorcerer. Here is the list of top ten best hospitals in Africa. Ukipata any hospital from Tanzania kuja nikupe albino uchinje.



Africa

1.Ficheros ricosscholar
2.Gambro Healthcare
3.Salam International Hospital
4.Netcare Group
5.Life Healthcare Hospital Group
6.Institut Pasteur de Madagascar
7.Neuropsychiatric Hospital
Abeokuta
8.Ganzouri Specialized Hospital
9Diani Beach Hospital Kenya
10Centre Hospitalier Mohammed VI Marrakech
11Children's Hospital Trust





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Woi, these folks are so stupid beyond repair, they think world bank ndio inajua vijiji vyote na chocho zote za nchi and that they pass through each & every house to collect their own data.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wrong they also use independent sources like private consumer insight companies and economic think tanks, that is how they discovered that you lied about economic growth over the last years.
 
The education system is measured against skill produced by that education system. Kenya has more skilled labor and a more professional workforce than most sub saharan countries including Tanzania. That is why even companies operating in Tanzania look for Kenyans to help them run their businesses.

It is also the reason why the rich people in Tanzania and east africa in general send their children to kenyan schools, while private schools in Tanzania want to hire specifically Kenyan teachers
 
Kwhyo unataka kusema backup generator haiwezi fanya kazi kw mda mrefu...

Halafu nikuulize, mbna embassy zingine hawalalamiki iwe wao.
Hyo ndio shida ya kuokota vitu twitter

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo WB wanakwenda vijijini na kuhesabu kila kijiji kilichowekewa umeme?. Mbona makadiria ya kukua uchumi wa Tanzania yalikaribiana na makadiria ya serikali kuliko ya IMF na wenyewe walikubaliana na serikali?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wangelikubaliana wangeliiweka ile 7% yenu..

Swala la world bank kwenda vijijini huwezi pata jibu km hujui world bank ni akina nani kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…