Kenya lags behind in this

Kenya lags behind in this

Hahahaaa!!km sio lazima watoe maelezo basi inakuaje wewe hapa unawasemea eti gharama au kupumzisha mitambo..

Ndipo nikakwambia, wacheni kuokotakota vitu tu hata bila ya kuvielewa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe unapinga unapinga kwamba kwanini wanapunguza masaa ya kufanya Kazi kwasababu wanapaswa wasipunguze badala yake watumie "generator". Wenyewe wanasema wanalazimika kupunguza masaa ya Kazi, wewe unasema huo ni uongo kwasababu wanazo Generators, acha kuwapangia maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mahali kuna mapungufu jomba, kwhyo ukwel utabaki kuwa vile vile ya kwamba kenya iko mbele katika sekta ya afya

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini mapungufu katika huduma za Afya yasitokee upande wa Tanzania badala yake yatokee upande wa Kenya?, hiyo ni dalili tosha kwamba kwenye Afya, Tanzania ni baba lao hapa Africa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wewe unapinga unapinga kwamba kwanini wanapunguza masaa ya kufanya Kazi kwasababu wanapaswa wasipunguze badala yake watumie "generator". Wenyewe wanasema wanalazimika kupunguza masaa ya Kazi, wewe unasema huo ni uongo kwasababu wanazo Generators, acha kuwapangia maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Unayasema wewe hayo, mimi nafanya kuwashauri tu ya kwamba mpunguze kukurupuka...

Sio kila kitu unachokiona unakiokota na kukipost hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulingana na uwezo wa nchi za africa, hazina uwezo wa kupambana na COVID-19

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye hazungumzii Corona tu, yeye anasema hii itawapa nafasi ya kuboresha huduma zenu za Afya ili kupunguza viongozi kwenda kutibiwa nje ya Kenya, viongozi wenu wote huenda kutibiwa nje ya Kenya, data kwa matatizo madogo Kama yaliyomkuta Raphael Tuju hivi karibuni, ni aibu Sana kwa nchi kushindwa kutibu majerui wa ajali ya barabarani.

Hata marekani viongozi hutoa mawazo ya kuboresha huduma za afya..kwhyo bado naona unapiga soga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom