Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #101
Aaawapiii Kunyaland hiihii? Mnaokuja in droves kutibiwa Tanzania!Kila mahali kuna mapungufu jomba, kwhyo ukwel utabaki kuwa vile vile ya kwamba kenya iko mbele katika sekta ya afya
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe unapinga unapinga kwamba kwanini wanapunguza masaa ya kufanya Kazi kwasababu wanapaswa wasipunguze badala yake watumie "generator". Wenyewe wanasema wanalazimika kupunguza masaa ya Kazi, wewe unasema huo ni uongo kwasababu wanazo Generators, acha kuwapangia maishaHahahaaa!!km sio lazima watoe maelezo basi inakuaje wewe hapa unawasemea eti gharama au kupumzisha mitambo..
Ndipo nikakwambia, wacheni kuokotakota vitu tu hata bila ya kuvielewa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini mapungufu katika huduma za Afya yasitokee upande wa Tanzania badala yake yatokee upande wa Kenya?, hiyo ni dalili tosha kwamba kwenye Afya, Tanzania ni baba lao hapa AfricaKila mahali kuna mapungufu jomba, kwhyo ukwel utabaki kuwa vile vile ya kwamba kenya iko mbele katika sekta ya afya
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikiliza viongozi wenu pia wanakiri kwamba hamna huduma bora za Afya, mnapaswa kujitathmini na kuboresha huduma zenu. Sisi sio level yenuKila mahali kuna mapungufu jomba, kwhyo ukwel utabaki kuwa vile vile ya kwamba kenya iko mbele katika sekta ya afya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kulingana na uwezo wa nchi za africa, hazina uwezo wa kupambana na COVID-19Sikiliza viongozi wenu pia wanakiri kwamba hamna huduma bora za Afya, mnapaswa kujitathmini na kuboresha huduma zenu. Sisi sio level yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa!!kumbe na argue na mtu mwenye maneno matupu tu...Kwanini mapungufu katika huduma za Afya yasitokee upande wa Tanzania badala yake yatokee upande wa Kenya?, hiyo ni dalili tosha kwamba kwenye Afya, Tanzania ni baba lao hapa Africa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unayasema wewe hayo, mimi nafanya kuwashauri tu ya kwamba mpunguze kukurupuka...Sasa wewe unapinga unapinga kwamba kwanini wanapunguza masaa ya kufanya Kazi kwasababu wanapaswa wasipunguze badala yake watumie "generator". Wenyewe wanasema wanalazimika kupunguza masaa ya Kazi, wewe unasema huo ni uongo kwasababu wanazo Generators, acha kuwapangia maisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna swali moja mliuzwa, tupeni ushahidi wowote kando na wale wakenya wa mipakani kuna wwngine kweli huvuka mipaka kuja bongo..Aaawapiii Kunyaland hiihii? Mnaokuja in droves kutibiwa Tanzania!
Pita huku [emoji116] uone uozo wenu!
Forget about Nairobi's Kenyatta teaching hospital, these are Kenya's county referral hospitals - JamiiForums
Yeye hazungumzii Corona tu, yeye anasema hii itawapa nafasi ya kuboresha huduma zenu za Afya ili kupunguza viongozi kwenda kutibiwa nje ya Kenya, viongozi wenu wote huenda kutibiwa nje ya Kenya, data kwa matatizo madogo Kama yaliyomkuta Raphael Tuju hivi karibuni, ni aibu Sana kwa nchi kushindwa kutibu majerui wa ajali ya barabarani.Kulingana na uwezo wa nchi za africa, hazina uwezo wa kupambana na COVID-19
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuteni ufumbuzi wa umeme, wageni wanaolalamika acheni maneno yasiyokua na msingiUnayasema wewe hayo, mimi nafanya kuwashauri tu ya kwamba mpunguze kukurupuka...
Sio kila kitu unachokiona unakiokota na kukipost hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata marekani viongozi hutoa mawazo ya kuboresha huduma za afya..kwhyo bado naona unapiga soga tuYeye hazungumzii Corona tu, yeye anasema hii itawapa nafasi ya kuboresha huduma zenu za Afya ili kupunguza viongozi kwenda kutibiwa nje ya Kenya, viongozi wenu wote huenda kutibiwa nje ya Kenya, data kwa matatizo madogo Kama yaliyomkuta Raphael Tuju hivi karibuni, ni aibu Sana kwa nchi kushindwa kutibu majerui wa ajali ya barabarani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wageni wapi hao, au unamaanisha hyo tweet[emoji1787][emoji1787]Tafuteni ufumbuzi wa umeme, wageni wanaolalamika acheni maneno yasiyokua na msingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila viongozi wao hawatibiwi nje ya nchi yao, 99% hutibiwa ndani ya USAHata marekani viongozi hutoa mawazo ya kuboresha huduma za afya..kwhyo bado naona unapiga soga tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kw data tu, huwezekani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila viongozi wao hawatibiwi nje ya nchi yao, 99% hutibiwa ndani ya USA
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri Corona ipite ndio watakuja nyumbani kwako kutoa malalamiko yao, ila kwa sasa, ngoja waendelee kutumia Twitter
Zilete hzo tweetsSubiri Corona ipite ndio watakuja nyumbani kwako kutoa malalamiko yao, ila kwa sasa, ngoja waendelee kutumia Twitter
Sent using Jamii Forums mobile app