Kenya leads Africa in Artificial Intelligence technology

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
As always, Kenya leads in Africa.
This highlights the country’s stride in preparing for the adoption of the new revolutionary technology compared to its regional peers.
A new study by the International Development Research Center (IDRC) and Oxford Insights ranks Kenya first on the continent and 52nd globally, with other African countries lagging behind.
“There are already numerous examples to show that AI is being applied to local problems,” said Isaac Rutenberg, a senior lecturer and the director of the Centre for Intellectual Property and Information Technology Law (CIPIT) at Strathmore Law School.
 
ndio nini?
Nimependa ulivyouilza, ni jinsi ya kuifanya computer iwe na uwezo wa kuwaza na kufanya maamuzi yenyewe bila kusubri kufuata maagizo.
Kwa kifupi kama umetumia Uber basi jibu unalo, hebu waza jinsi gani Uber hutadhmini nauli ya pale unapoitajia unakokwenda, inafanya maamuzi ambayo hufanywa na dereva wa taxi.
 
Uko na hoja ingawa mfano wa Uber sio AI, wewe ndiye unachagua maagizo ya penye unaenda hivyo basi kuamua nauli kulingana na maagizo yaliyo wekwa na wataalamu wa Uber application. AI ni amapo machine huwaza na kufanya maamuzi bila ya maagizo yoyote kutoka kwa binadamu. Mfano wa kwanza wa na AI ni self driving cars. la pili ambayo ndio mfano maalum wa AI ni machine learning ambo machine hujifunza jinsi ya kufanya mambo kwa kupitia "experience" kama vile binadamu. kwa mfano AI inaweza kwa kucheza mchezo wowote kama vile Chess ama Go ambapo mwanza haijui kuucheza lakini kwa kucheza mara nyingi inaendelea kukuza uzoefu na umaarufu hadi amapo wewe kama binadamu huwezi kuishinda ile machine katika uchezaji huo.
 
As always, Kenya leads in Africa.
This highlights the country’s stride in preparing for the adoption of the new revolutionary technology compared to its regional peers.
A new study by the International Development Research Center (IDRC) and Oxford Insights ranks Kenya first on the continent and 52nd globally, with other African countries lagging behind.
“There are already numerous examples to show that AI is being applied to local problems,” said Isaac Rutenberg, a senior lecturer and the director of the Centre for Intellectual Property and Information Technology Law (CIPIT) at Strathmore Law School.
N what is artificial intelligence
 
POPOMA!!
AI is not the leading Technology:
The latest are
1. Blockchain
2. IoT
Hiyo AI ishatumika kitambo Tz.
Mfano Daktari Elsa
Next time dont copy Ur Debris then U come to paste on j/forum!!!

Najua kingereza huwa kinawatesa sana mnaishia kukurupuka na kujibu hoja kwa mihemko bila kuelewa nini kinachojadiliwa humo.
Wacha nikutafsirie kwa kiwango chako, hamna sehemu imetajwa kwamba 'AI is the leading technology', kile kimesemwa ni kwamba Kenya ndio inaongoza katika utayari wa kutumia AI kwa Afrika yote.
Kama bado hujaelewa, tafuta mtu akutafsirie...
 
Uko na hoja ingawa mfano wa Uber sio AI, wewe ndiye unachagua maagizo ya penye unaenda hivyo basi kuamua nauli kulingana na maagizo yaliyo wekwa na wataalamu wa Uber application. AI ni amapo machine huwaza na kufanya maamuzi bila ya maagizo yoyote kutoka kwa binadamu. Mfano wa kwanza wa na AI ni self driving cars. la pili ambayo ndio mfano maalum wa AI ni machine learning ambo machine hujifunza jinsi ya kufanya mambo kwa kupitia "experience" kama vile binadamu. kwa mfano AI inaweza kwa kucheza mchezo wowote kama vile Chess ama Go ambapo mwanza haijui kuucheza lakini kwa kucheza mara nyingi inaendelea kukuza uzoefu na umaarufu hadi amapo wewe kama binadamu huwezi kuishinda ile machine katika uchezaji huo.

Kaka Uber inatumia AI kufanya mahesabu ya nauli, kitambo mfumo wao ulikua unategemea umbali na aina ya gari, lakini siku hizi mfumo unazingatia algorithms zinazotumia mambo mengi yakiwemo your spending habits, previous trips, sehemu husika n.k.

Wana kitengo maalum kwa ajili ya AI, check hapa https://www.uber.com/ke/en/uberai/
 
Kichwa chako cha habari ni tofauti na habari yenyewe, nadhani unaelewa readiness to adopt the tech sio sawa na nchi kuongoza ktk hio sector. Hio report ya Strathmore iko shallow, tayari kuna walio mbali zaidi ktk matumizi ya AI/ ML tech.

I know the sector very well.

FYI, mfano 1 mzuri; almost 50% ya natural language processing (NLP) algorithms ambayo ni subset ya AI ktk a popular robot known as Sophia inatengenezwa na startup ya Ethiopia.

Ipo mifano mingi very advanced ya matumizi ya AI/ML ktk nchini nyingine.

Your assessment could be correct if you meant the GoK readiness in terms of the adoption of the forth industrial revolution (4IR) policy and perhaps by leveraging the existing underlying ICT infrastructure and skills. Kwa sababu bado nchi nyingi za Africa hazijaweka bayana their 4IR policy direction. Ingawaje tayari matumizi yamekuwa yakiendelea...
As always, Kenya leads in Africa.
This highlights the country’s stride in preparing for the adoption of the new revolutionary technology compared to its regional peers.
A new study by the International Development Research Center (IDRC) and Oxford Insights ranks Kenya first on the continent and 52nd globally, with other African countries lagging behind.
“There are already numerous examples to show that AI is being applied to local problems,” said Isaac Rutenberg, a senior lecturer and the director of the Centre for Intellectual Property and Information Technology Law (CIPIT) at Strathmore Law School.
 
Kichwa chako cha habari ni tofauti na habari yenyewe, nadhani unaelewa readiness to adopt the tech sio sawa na nchi kuongoza ktk hio sector. Hio report ya Strathmore iko shallow, tayari kuna walio mbali zaidi ktk matumizi ya AI/ ML tech.

I know the sector very well.

FYI, mfano 1 mzuri; almost 50% ya natural language processing (NLP) algorithms ambayo ni subset ya AI ktk a popular robot known as Sophia inatengenezwa na startup ya Ethiopia.

Ipo mifano mingi very advanced ya matumizi ya AI/ML ktk nchini nyingine.

Your assessment could be correct if you meant the GoK readiness in terms of the adoption of the forth industrial revolution (4IR) policy and perhaps by leveraging the existing underlying ICT infrastructure and skills. Kwa sababu bado nchi nyingi za Africa hazijaweka bayana their 4IR policy direction. Ingawaje tayari matumizi yamekuwa yakiendelea...

Kwanza nikurekebishe, hii sio ripoti ya Strathmore, tatizo umeanza kujibu hata bila kusoma, sibishi kwamba wewe sio mtaalam wa AI, ila pia sijashangaa kwa ulivyo mfano wa wataalam wengi wa kibongo bongo mlivyo, unajibu hoja ya kitaaam bila kusoma na kuelewa kwanza.
Hujasoma ujue huu utafiti umefanywa na akina nani na pia hadhi ya hao walioufanya utafiti, na methodology na metrics zipi walitumia, usianze kwa kubwabwaja tu.
AI readiness huzingatia vitu vingi sana, wao huangalia AI strategies mlizonazo, AI startups zilizopo na zimekua supported kivipi, skills and education level ya wataalam kwenye nchi, government innovation, ikiwemo pia mnavyoitumia AI na mengine mengi tu. Kwa hivyo, hii ni taasisi ya kimataifa na huwa haikurupuki, wanatumia muda wao kufanya analysis ya kutosha kabla kuchapisha indices zao.

Naomba usome hili chapisho la 2017 kwa makini utapata picha https://www.oxfordinsights.com/government-ai-readiness-index/
 
Hahahaa, wee Mzee punguza kiherehere na upotoshaji.

Nimeisoma ripoti yote ndio maana nikakujibu kuwa heading yako sio sawa na kilichoandikwa kule ndani, kubali kuambiwa ukweli.

Hao Strathmore wamenipitia tu kichwani kwa sababu kuna kitu fulani kinachowahusu nilikuwa nafanyia review wakati huo nakujibu hapa.

Back
Top Bottom