pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
How Many Rural Tanzanians Have Power? – PesaCheck
Mkikuyu, soma hii ripoti ambayo mwenzako huwa anapenda kuieka hapa wakati hata haelewi kiingereza. Inawaanika wapika data kweli kweli! Inasema Tz usambazaji wa umeme hiyo 2017 ilikuwa ni 32.8%. Mmh mmeruka hadi 70% chini ya miezi mitano. Allahuakbar!