pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Huyo achana naye ni mjinga. Hata Watanzania wenzake akina Geza Ulole humuita mjinga.Kwa kweli umeabudu mzungu. Unahitaji msaada.
How Many Rural Tanzanians Have Power? – PesaCheck
Mkikuyu, soma hii ripoti ambayo mwenzako huwa anapenda kuieka hapa wakati hata haelewi kiingereza. Inasema Tz usambazaji wa umeme hiyo 2017 ilikuwa ni 32.8%. Mmh mmeruka hadi 70% chini ya miezi mitano. Allahuakbar!
I only quote government figures not NGO figures. Those are the figures that will land in WB reports.How Many Rural Tanzanians Have Power? – PesaCheck
Mkikuyu, soma hii ripoti ambayo mwenzako huwa anapenda kuieka hapa wakati hata haelewi kiingereza. Inawaanika wapika data kweli kweli! Inasema Tz usambazaji wa umeme hiyo 2017 ilikuwa ni 32.8%. Mmh mmeruka hadi 70% chini ya miezi mitano. Allahuakbar!
They normally say never waste your energy fighting an idiot - he will defeat and kill himself in the long run if well ignored.😀😀😀2017 I meant I edited not official sources though. So from which WB did you get your dubious figure of 70% for Tz? It says up there 32.8%. Kenya 56%. Mzee umechanganyikiwa.
This has always been the case, Kenya always leads in everything including economy, literacy level, military, electricity connectivity, road network, health services etc etc
pingli-nywee naona maboya wenzako wamekuja kukupa supporti..Hebu ni waache mjadili ujuha wenu msiniambukize 😀😀😀They normally say never waste your energy fighting an idiot - he will defeat and kill himself in the long run if well ignored.😀😀😀
Kuhumiwa ndio nini? Offcourse the WB figures of Dec. 2017 are not yet available. You think WB trusts any info just because a govt says so? Kenya right now, if all goes well is on its way to universal connectivity. 90+ Projections for 2018 were already at 67.5%. Wewe endelea kusikiza hekaya za abunuwasi.WB gets it figures from Gvts, it has not updated since 2016 jan. The figures of 70% Tz are from GoT as af 2017 dec. ofcourse WB will pick those figures when they want to. Wewe ni lofa wa kimataifa, boya wa kuhumiwa tu 😀
Hili swali uliza majuha wenzako, mtaelewana kisawasawa, hapa sipo tena 😀😀😀Kuhumiwa ndio nini? Offcourse the WB figures of Dec. 2017 are not yet available. You think WB trusts any info just because a govt says so? Kenya right now, if all goes well is on its way to universal connectivity. 90+ Projections for 2018 were already at 67.5%. Wewe endelea kusikiza hekaya za abunuwasi.
You only quote figures from GoT. Then you are about to get even more stupid. GoT??? Surely? [emoji38]I only quote government figures not NGO figures. Those are the figures that will land in WB reports.
Where are the government figures you're talking about? I haven't seen them yet.You only quote figures from GoT. Then you are about to get even more stupid. GoT??? Surely? [emoji38]
😀😀😀😀😀Hurumia u mzeeAm talking about DEC. 2017, 4 months ago. Elecricity connectivity in Tz was still below 35%. Danganya toto mwingine. 😀
Wewe ni mjinga sana, sijui kama hata unapaswa kupata heshima ya kujibiwa, kwanini wewe ni mjinga kiasi hiki?, hii taarifa inatoa maelezo ya serikali kupitia kwa msemaji wa serikali wa wizara husika, then kuna muandishi wa taarifa hii anatoa mapendekezo na maoni yake vile yeye anavyodhani ni sawa, sasa wewe kwa upumbavu wako, badala ya kusikiliza maelezo ya serikali ambayo hata hao WB na IMF ndio sources wanazozitegemea, wewe unasikiliza maoni ya mwandishi kwasababu anachokisema kinaendana na matakwa ya Jubilee na wafuasi wake, ili kuficha aibu ya Jubilee. Kwa taarifa yako, hii ripoti ni ya 2016, sasa hivi imefikia about 75%, ngoja nikutafutie taarifa ya serikali ya mwaka 2018.How Many Rural Tanzanians Have Power? – PesaCheck
Mkikuyu, soma hii ripoti ambayo mwenzako huwa anapenda kuieka hapa wakati hata haelewi kiingereza. Inawaanika wapika data kweli kweli! Inasema Tz usambazaji wa umeme hiyo 2017 ilikuwa ni 32.8%. Mmh mmeruka hadi 70% chini ya miezi mitano. Allahuakbar!
Kuna baadhi ya watu humu ndani, huna sababu hata ya kupoteza mida wako wa kujibishana nao, hawana akili kabisa, akili waliyobakisha ni yakuwawezesha kuapamia wanawake ili kuongeza watoto wasio na akili kama wao.pingli-nywee naona maboya wenzako wamekuja kukupa supporti..Hebu ni waache mjadili ujuha wenu msiniambukize 😀😀😀
Aiise kuwa mpole bwana, umemtoa suruali hadharani, hatalipwa per diem leo na Jubilee 😀😀Wewe ni mjinga sana, sijui kama hata unapaswa kupata heshima ya kujibiwa, kwanini wewe ni mjinga kiasi hiki?, hii taarifa inatoa maelezo ya serikali kupitia kwa msemaji wa serikali wa wizara husika, then kuna muandishi wa taarifa hii anatoa mapendekezo na maoni yake vile yeye anavyodhani ni sawa, sasa wewe kwa upumbavu wako, badala ya kusikiliza maelezo ya serikali ambayo hata hao WB na IMF ndio sources wanazozitegemea, wewe unasikiliza maoni ya mwandishi kwasababu anachokisema kinaendana na matakwa ya Jubilee na wafuasi wake, ili kuficha aibu ya Jubilee. Kwa taarifa yako, hii ripoti ni ya 2016, sasa hivi imefikia about 75%, ngoja nikutafutie taarifa ya serikali ya mwaka 2018.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Aiise kuwa mpole bwana, umemtoa suruali hadharani, hatalipwa per diem leo na Jubilee 😀😀
kwa iyo TZ aka bongo lala ilipea world Bank outdated data? Utakula pumba wewe tahiraWB gets it figures from Gvts, it has not updated since 2016 jan. The figures of 70% Tz are from GoT as af 2017 dec. ofcourse WB will pick those figures when they want to. Wewe ni lofa wa kimataifa, boya wa kuhumiwa tu 😀
I humbly take your adivice. Kupuliza gunia hailetagi bidii. The figures speak, very loudly I should add.They normally say never waste your energy fighting an idiot - he will defeat and kill himself in the long run if well ignored.😀😀😀
Chizi, huelewi alichoandika jamaa kwasababu akili yako ni ndogo.kwa iyo TZ aka bongo lala ilipea world Bank outdated data? Utakula pumba wewe tahira
Tanzania’s grid power reaches to approximately 70% of the populationWhere are the government figures you're talking about? I haven't seen them yet.