Kenya leo wanapanda miti Milioni 100. Haya ni mambo Tanzania tunapaswa kuiga

Huku tunapanda mashina.
 
Project ya miti ingefaa tutumie helicopter kupanda miti ya asili kwa kumwaga mbegu maeneo ya wazi hasa wakati wa msimu wa masika...unamwaga mbegu kwa ndege msitu unakuja safi
 
Ngoja tuwaulize Waarabu wa DP world kama watakubali jambo hilo
 
tanzania ni kawaida yetu kupanda miti uliza mtu yoyote afrika mashariki na kati
 
DRC, Angola na Tanzania ndiyo nchi zenye misitu mikubwa katika bara la Africa. Msipende kuiga kila kitu kutoka Kenya. Kenya ni nchi yenye semi desert kule Turkana, waache wapande miti. Sisi tutumie nguvu zetu kufanya mambo mengine.
 
Mbona sisi tumepanda zaidi ya hyo last year mk
 
Hapo itakuwa 100 tu maana hata maji ya kumwagia hawana na mvua hazinyeshi
 
Mwaka huu pekee nimepanda miti si chini ya 100 shule na nyumbani upandaji miti unafanyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…