pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Hahaha! [emoji1] Ndio yale yale ya Princess William! [emoji23] Ila hawa kina dada sio wa mzaha mzaha. Walifuzu na wakaiwakilisha Kenya hadi Kwenye Olympics zilizokuwa kule Rio, Brazil. Najua kule Dubai 7s lazima watafanya vitu vya maana.Nimekuja spidi nikajua lionel mess wa barca
Alaaa, ipo tena sana. Tena inakubalika zaidi ya women soccer. Mara nyingi huwa nikifatilia za wanaume huwa najaribu kutizama za kina dada pia. Very enjoyable huwa wanamenyana hadi raha! Haitaki maslay queen lakini. [emoji23] Timu ya Kenya Raga7s kwa wanawake, The Lionesses ni timu 'serious' sana na tangu wafuzu na washiriki kwenye Olympics miaka miwili iliyopita wamepata kampuni nyingi sana za kikenya za kuwafadhili. Safaricom, Bidco, Sportpesa ni baadhi yazo.Huwa sifuatilii rugby ila najua wakenya wapo vizuri kwenye mchezo huu.
Women rugby? Kumbe ipo?
http://ragahouse.com/news/item/kenya-lionesses-set-for-hsbc-world-sevens-series Hii ni baada ya 'performance' yao ya kuridhisha mwakani waliponyakua kikombe cha ubingwa wa Raga7s Afrika, kwa kina dada, kule Gaborone, Botswana. Wamealikwa kwenye mchuano wa Dubai7s ambao utaanza mwisho wa mwezi huu wa Oktoba.https://www.standardmedia.co.ke/spo...nya-lionesses-win-rugby-africa-women-s-sevens Waliposhinda kinyang'anyiro cha Rugby Africa Women's 7s Championship kule Botswana.Kenya Lionesses wakifanya yao.
Hats off indeed. Hivyo hivyo tu, when playing rugby you must be prepared to be knocked around, alot.Women's Rugby?!, Oh Wow!
Sikujua. Hatz off to them kwa kweli.
Lakini hawamizani sana?!
So you thought Illd forget how shocking it was when you supported Maurine O's(yea, I remember her name) actions? [emoji1] I remember everything, everything! πHhahah!, nimependa hii Jirani.
Madume mawili kwenye zizi moja! π