Kenya Lionesses Wapata Mualiko Wa Kushiriki Kwenye Mchuano Wa Dubai 7s(2018/19 HSBC World Women Rugby 7s Series)

Kenya Lionesses Wapata Mualiko Wa Kushiriki Kwenye Mchuano Wa Dubai 7s(2018/19 HSBC World Women Rugby 7s Series)

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
http://ragahouse.com/news/item/kenya-lionesses-set-for-hsbc-world-sevens-series Hii ni baada ya 'performance' yao ya kuridhisha mwakani waliponyakua kikombe cha ubingwa wa Raga7s Afrika, kwa kina dada, kule Gaborone, Botswana. Wamealikwa kwenye mchuano wa Dubai7s ambao utaanza mwisho wa mwezi huu wa Oktoba.
thumb_zodo2gvenijmroneru5b0bfed0da22f.jpg
https://www.standardmedia.co.ke/spo...nya-lionesses-win-rugby-africa-women-s-sevens Waliposhinda kinyang'anyiro cha Rugby Africa Women's 7s Championship kule Botswana.
kenya-womens-15b.jpg
women-run-hk-15.jpg
Kenya Lionesses wakifanya yao.
Lionnesses.jpg
968791.png
 
Huwa sifuatilii rugby ila najua wakenya wapo vizuri kwenye mchezo huu.
Women rugby? Kumbe ipo?
Alaaa, ipo tena sana. Tena inakubalika zaidi ya women soccer. Mara nyingi huwa nikifatilia za wanaume huwa najaribu kutizama za kina dada pia. Very enjoyable huwa wanamenyana hadi raha! Haitaki maslay queen lakini. [emoji23] Timu ya Kenya Raga7s kwa wanawake, The Lionesses ni timu 'serious' sana na tangu wafuzu na washiriki kwenye Olympics miaka miwili iliyopita wamepata kampuni nyingi sana za kikenya za kuwafadhili. Safaricom, Bidco, Sportpesa ni baadhi yazo.
 
Nalendwa, ndio huu mfano mzuri wa wanawake ambao wamejiwezesha wenyewe, tupilia kule yale ya mwanamke kufuga madume mawili kwenye zizi moja. [emoji1]
 
Kenya is the Sports Super power of eastern Africa.
http://ragahouse.com/news/item/kenya-lionesses-set-for-hsbc-world-sevens-series Hii ni baada ya 'performance' yao ya kuridhisha mwakani waliponyakua kikombe cha ubingwa wa Raga7s Afrika, kwa kina dada, kule Gaborone, Botswana. Wamealikwa kwenye mchuano wa Dubai7s ambao utaanza mwisho wa mwezi huu wa Oktoba.
thumb_zodo2gvenijmroneru5b0bfed0da22f.jpg
https://www.standardmedia.co.ke/spo...nya-lionesses-win-rugby-africa-women-s-sevens Waliposhinda kinyang'anyiro cha Rugby Africa Women's 7s Championship kule Botswana.
kenya-womens-15b.jpg
women-run-hk-15.jpg
Kenya Lionesses wakifanya yao.
Lionnesses.jpg
968791.png
 
Women's Rugby?!, Oh Wow!

Sikujua. Hatz off to them kwa kweli.
Lakini hawamizani sana?!
 
Women's Rugby?!, Oh Wow!
Sikujua. Hatz off to them kwa kweli.
Lakini hawamizani sana?!
Hats off indeed. Hivyo hivyo tu, when playing rugby you must be prepared to be knocked around, alot.
Hahaa! [emoji1]
Hhahah!, nimependa hii Jirani.
Madume mawili kwenye zizi moja! 😀
So you thought Illd forget how shocking it was when you supported Maurine O's(yea, I remember her name) actions? [emoji1] I remember everything, everything! 😎
 
Back
Top Bottom