Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Naam!Yasemekana sisi wapiga nyungu kwenda UK, US na kote duniani ruksa.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Kenyatta anastaafuKenyata atakuwa na wakati mgumu sana kwenye uchaguzi mkuu mwaka kesho..
Kenyata atakuwa na wakati mgumu sana kwenye uchaguzi mkuu mwaka kesho..
Ndio mjue mabeberu hayana urafiki au undugu!! Kenya kuna tone tu LA corona ukilinganisha na marekani na uingereza lakini wameanza kuwanyanyapaa as if mmejinyea!! Ndugu na marafiki Wa kweli ni majirani zenu Wa afrika ya mashariki!! Tumieni nguvu nyingi kuboresha mahusiano among east african countries!