Kenya, Maafisa wa polisi 40 taabani kisa unyanyasaji wa wananchi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hakuna kuishi kwa mazoea tena, polisi ukifanya madudu inakula kwako, fanya kazi yako kwa kuheshimu mipaka ya sheria, hakuna wa kukutetea ukichepuka, nchi hii tumepiga hatua sana kidemokrasia, kuna baadhi yetu tuliumia sana kipindi tunapmbana na utawala mbovu wa awali, haipaswi kuona polisi wa Kenya wanafanya vituko ambavyo tumezoea kuona kwa majirani, hawa 40 wanaelekea kufutwa kazi na kuishia gerezani.
========================

Police assault a Kenyans on March 27, 2020, as the nationwide curfew commenced

Police assault a Kenyan on March 27, 2020, as the nationwide curfew commenced

Govt Cracks Whip on 40 Rogue Police Officers
 
Samahani lakini hata wafukuzwe wote hii tabia haitabadilika kama jamii haitabadilika. Hatuwezi kuendeleza fimbo na nguvu kwenye malezi ndani ya familia halafu mtegemea the opposite pale hawa watoto wakikua. Hili ni suala kama la ufisadi huku Tanzania Magufuli kila siku anafukuza lakini jamii inaamini kwenye kupiga pesa pale unapopata nafasi kwahiyo ufisadi utaendelea tu hadi jamii ibadilike na jamii haibadilishwi na serikali bali wazazi (mimi na wewe). Kuna kizazi cha mbele kitaweza lakini kwasasa hamna tofauti kati ya Kenya na Tanzania kwenye suala la policing.
 
Hii kulinganisha POLISI wa Kenya unafanya makosa makubwa sana, POLISI wa Kenya wanaongoza kwa brutality Africa nzima, wakati wale wa Tanzania hawapo hata ktk "top ten', vipi unasema hakuna tofauti kati ya POLISI wa Kenya na Tanzania?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani lakini hata wafukuzwe wote hii tabia haitabadilika kama jamii haitabadilika. Hatuwezi kuendeleza fimbo na nguvu kwenye malezi ndani ya familia halafu mtegemea the opposite pale hawa watoto wakikua. Hili ni suala kama la ufisadi huku Tanzania Magufuli kila siku anafukuza lakini jamii inaamini kwenye kupiga pesa pale unapopata nafasi kwahiyo ufisadi utaendelea tu hadi jamii ibadilike na jamii haibadilishwi na serikali bali wazazi (mimi na wewe). Kuna kizazi cha mbele kitaweza lakini kwasasa hamna tofauti kati ya Kenya na Tanzania kwenye suala la policing.
Ufisadi si kuiba hela tu.Kuvunja Katiba,kutoheshimu mgawanyo wa madaraka (mihimili ya Dola),upendeleo wa wazi wazi (Makonda,Lugola) wanapofanya makosa n.k ni ufisadi mbaya zaidi ya unaofanywa na wenye njaa ya kawaida. Magufuli analeta aina mpya ya ufisadi utakaoliangamiza taifa siku zijazo. Tumkatalie kwa nguvu zote halali.
 
  • Dislike
Reactions: UCD
Kiini macho tu hicho
Hao walikua wanatekeleza amri halali,ya kuwaswaga wakenya watakaokaidi
Sasa imekula kwao maana aliyewapa amri hafuatwi, iwe funzo kwa hao huwa mnawaita policcm, ipo siku watajikuta kwa haya yanayowatendea hawa wa huku.
 
Back
Top Bottom