KENYA: Maambukizi ya Corona yafikia 1745

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Idadi ya maambukizi ya #COVID19 imeongezeka baada ya maambukizi 127 mapya kuthibitika na kufanya nchi hiyo kuwa na jumla ya maambukizi 1,745. Idadi hiyo imekuja baada ya kupima sampuli 3,831

Wizara ya Afya imesema pia watu 4 zaidi wamefariki na kufanya idadi ya vif kufikia 62. Vifo vinne vilivyoongezeka vyote vimetokea Mombasa

Aidha watu 17 wamepona na kuruhusiwa kurudi nyumbani na kufanya idadi ya waliopona kuwa 438

====
The number of Covid-19 cases in Kenya continues to rise by the day with the total number of infections now hitting 1,745 following confirmation of 127 cases on Friday.

The 127 new cases were confirmed following the testing of 3,831 samples over the last 24 hours.

In a press briefing on Friday, Health Ministry CAS Dr. Mercy Mwangangi also announced that four more patients had succumbed to the coronavirus disease raising the total number of fatalities in the country to 62. All the four deaths were recorded in Mombasa.

17 more patients have also been discharged bringing the number of recoveries so far to 438.

The new cases are distributed as follows: Nairobi (76), Mombasa (19), Busia (16), Uasin Gishu (8), Kiambu (2), Kajiado (5) and Isiolo (1).

In Nairobi, Kibra had the highest number of cases at 49, followed by Ruaraka (13), Makadara (4), Westlands (4), Langata (2), with Embaksi West, Kasarani, Dagoretti North and Starehe recording one case each.

The 19 cases in Mombasa are distributed as follows: Kisauni (7), Mvita (6), Nyali (3), Likoni (2) and Jomvu (1).

So far the country has tested 74,003 samples.
 
Poleni sana majirani. Pigeni malimao na tangawizi zinasaidia sn kwenye hili gonjwa.
 
Hawa jamaa wanasambaza Corona EAC, wanapaswa kutengwa!
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Corona ina mchezo
 
Serekali imepoteza kodi kubwa mara kumi zaidi ya hio kwasababu ya impact ya COVID kwenye uchumi, kwahivyo labda uniambia akina WB na IMF wanatupatia $15B, ni mawazo ya wapiga porojo kufikiria eti tunatangaza covid na kufunga uchumi ili tupewe vi bilioni kadhaa ambavyo hata havipeleki serekali popote.$1B ni sawa na VAT ya mwezi mmoja kama uchumi ungekua unaendelea kawaida.. Hapo hatujaongelea kodi inayokatwa kwa mishahara, tourists park fees, MPESA transactions, rent, parking tickets, usafiri wa ma bus na ndege, airport landing fees.... Hizo zote ni pesa ambazo serekali imekosa ku kusanya kwa miezi mitatu sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…