Kenya: Madaktari kutoka Cuba watekwa nyara

Aisee ni kweli nasikia tena walikuwa wana wahudumia hata raia wa somalia laghafa wamewateka nafikiri itakuwa al shabaab wamewapeleka wakawatibie majeruhi wao pengine watawarejesha embu ngoja tusubirie latest
 
Ukitaka kujulikana zaidi hapa Africa, kill each other, hiyo ndio sababu kuu ya kujulikana kwa Mandera na miji mingi ndani ya Somalia, hakuna sababu yoyote ya dunia kuijua Iringa, Mbeya, Morogoro au Mpanda.

Ukiniambia nikutajie mikoa miwili ya BewZeland, Austria, Luxernburg, au Iceland nitashindwa, lakini ninaweza kukutajia majimbo matano ya Afghanistan au Syria, nadhani umenielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hawa jamaa bila kuangalia media za kenya hwaskii raha..kule facebook kuki postiwa kitu cha kenya utaona mtanzania ka post nimeiona hyo habari kw citizen jana..mpka nashangaa kwn kwao hamna news za maana...cz km ni vipindi hapo ndio wako down sana..nilienda kw lile jukwaa lao la siasa..wengi wao wakawa wanaponda sijui futuhi...yani nikaamua siku moja niicheki..bro yani ni ujinga mtupu..yani niliitoa tu..nadhani pia kw interviews ni zero...mwanzo ni nani anaubavu wa kumhoji magu kuhusu madudu yake...utajiku central...
 
can you justify huo upuuzi uliandika hapo ? leta ushahidi mwehu ww
Unabisha? Hebu kamuulize jirani yako kama StarTv yenu haikuwa inarusha vipindi vya CitizenTv hadi asubuhi. Alafu kwa kuiga ndio usiseme, kutoka Power Breakfast ya Citizen Tv ambayo waliiga Clouds, Nimekubamba ambayo waliiga kutoka Kaa Rada ya Citizen Tv. Bulls Eye ya NTV wakaiita Jicho la Ng'ombe. Niendelee ama nisiendelee?
 
unakumbuka sakata mkuu...sai wameiga story yangu,lkn wao wameipa jina maisha yangu...hyo niliiona maisha magic bongo waki i advertise..
naswa pia km sikosei...

churchill show nao siku hz wako na ya kwao..yani hawa jama vitu vungi hufanya kw sababu kenya wanafanya..hadi nashangaa walai..tatizo ubora wao huaga upo chini...
 
Wewe kichencheleee kweliii v neno power breakfast ni mali ya kenya ? Iyo ni lugha mzee basi kama ni ivyo neno news pia tvs za afrika zimeiga !! ..star tv hairushi vipindibvya citizen even a single day labda ktk taarifa za afrika mashariki sometime ndio wanachukua habari toka stations tb za nchi zingine
 
Reactions: Oii

HOJA ya kipuuzi kabisaa
 
Wakenya akili zao hazina tofauti na panzi mtu ana kufa na njaa lakini ana ataku ambia hali nzuri maiti zina shikiliwa na hospital wana shindwa kuzika wapendwa wao.Ni watu ambao wanaumia na maumivu yao ndio maana uwezi jua mwanamke na mwaume sura zao ngumu sana kwa sababu ya manunguniko
 
Acha kuruka ruka na kuhamisha goal post ndugu yangu Lubulila. Alafu yaani wewe hapo unaona sifa wanahabari wenu wanapofanya copy and paste kutoka kwa wenzao wakenya? Tena wanaiga yote kutoka jina, content hadi mtindo wanaotumia kupeperusha kipindi chao. Hiyo ni zaidi ya aibu.
 
.mi nafikiri iyo kaunti ya mandera wameisusa sababu ina wasomali wengi mnooo na ktk mpaka wake na somalia nasikia hakuna ppst station maana wanawahofia magaidi ....
 
'Kuishi na msomali afadhali ya kuishi na cobra ndani'Wasomali hata mimi sijui kwanini huwa sina Imani nao hata kidogo...
Ukweli mtupu, madaktari wanafanya kazi ya kuwatibu lakini wanawaona kama adui.
Wasomali wana kiburi sana. Hata wasomali Wakenya loyalty yao iko Somali sio Kenya
 
Magaidi wakinyosha pua Tz kijiji kizima kilichowapa hifadhi magaidi kitateketezwa Kwa bunduki Walitaka kuanzisha kibiti ujinga ujinga huo. Watu kadhaa waliaga maisha . Sasa kibiti ni tulivu hawawezi kukaribusha magaidi tena . Severe punishment will fall over them.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Are they there to transfer a technical capacity which Kenya lack? Or increasing man power?
Perfect question, i'm sure it is both. That is a failed state for sure. They do not have neither technical capacity nor man power. And they are a mid income nation.
Hahahahaahaaaahaaaahaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ndugu mwenye huduma namba !!! By the tuna angalia citizen tv tu sababu kuna damu za watz pale ...... Binti Ndugu

Ndugu kama kenya angekuwa ipo katikati ya somalia na North sudan ...i am sure kusingekuwa na aman at all ....yaan ni bahati sana kwa wakenya kupakana na Tz upande south ambako ndio kuna maendeleo lkn northern kenya kule ni another story wanajitahidi sana kuprotect lkn kife kule ni mbayaaa nafikiri mungu alipenda kuwawekea jiran Tz .....
 
Kenya imeiga yafuatayo
1) Nyumba kumi
2)Kutafuta ghost workers serikali ni
3)BRT
4)Electric train
5)Mapambano ya rushwa
6)Kupunguza marupurupu wa wanasiasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona youtube miziki ya bongo imejaa macomments ya manyang'au, na haturingi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongoo, lakini endelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…