luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
- Thread starter
- #41
Aisee ni kweli nasikia tena walikuwa wana wahudumia hata raia wa somalia laghafa wamewateka nafikiri itakuwa al shabaab wamewapeleka wakawatibie majeruhi wao pengine watawarejesha embu ngoja tusubirie latestKuishi na msomali afadhali ya kuishi na cobra ndani. Utajua una hatari ujihami .
Hawa watu na imani yao hii ya kiibilisi watatesa watu sana. Madaktari wanawahudumia wao wenyewe !!. Lakini wanapata shinikizo za kiimani kufanya maasi.
Wakiachwa na serikali bila huduma ya afya wanapiga kelele . Waafrica hizi dini tumezilimbukia mno.
Sent using Jamii Forums mobile app