johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sasa unataka mkenya aangalie TBC au safari channel inayoonyesha majengo ya TANU?Siasa tu hizo, asikudanganye mtu, isitoshe hakuna Mkenya atakwambia anaangalia TV ya TZ akifwatilia Siasa za TZ, lkn ni kawaida kukuta nyumbani kwa Mtanzania familia nzima wanafwatilia TV za Kenya.
Unaijua siasa za kenya wewe mleta mada?Sasa unataka mkenya aangalie TBC au safari channel inayoonyesha majengo ya TANU?
Sasa unataka mkenya aangalie TBC au safari channel inayoonyesha majengo ya TANU?
Tv za Bongo vitu vingi ni recorded wanachukua JF na kwa Millard!Siyo swala la TANU au TBC bali ni IQ, Kenya kuna KBC kama TBC tu pia na Wakenya wanaangalia hata Watanzania wanaangalia KBC pia badala ya tv zetu.
Hoja ni kwanini Mahakama za Rushwa Tanzania hazifanyi kazi wakati Kenya ziko busy?Wakenya hasa wana Nairobi wanamuhitaji huyu gwiji wa rushwa maana kupitia rushwa ndio anawasidia
State agent
Mimi huwa nashindwa kuelewa pale mtu anapokamatwa kwa kosa kama la uhujumu uchumi alafu anapelekwa KISUTU lakini anaambiwa haruhusiwi kujibu lo lote kwa vile mahakama ile haina uwezo wa kuendesha mashitaka yake. Kwa nini asipelekwe mahakama yenye uwezo huo kwa ajli ya kutenda haki?Siyo swala la tanu au tbc bali ni IQ, Kenya kuna kbc kama tbc tu pia na Wakenya wanaangalia hata Watanzania wanaangalia kbc pia badala ya tv zetu.
Mimi huwa nashindwa kuelewa pale mtu anapokamatwa kwa kosa kama la uhujumu uchumi alafu anapelekwa KISUTU lakini anaambiwa haruhusiwi kujibu lo lote kwa vile mahakama ile haina uwezo wa kuendesha mashitaka yake. Kwa nini asipelekwe mahakama yenye uwezo huo kwa ajli ya kutenda haki?